MwanaYanga akilalamika kuhusu kuongezewa muda muonyeshe hii picha halafu kaa kimya

MwanaYanga akilalamika kuhusu kuongezewa muda muonyeshe hii picha halafu kaa kimya

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
1000080825.jpg

Picha inajieleza
Waonyeshe hii halafu usiongee kitu
 
Izo hazina shida kwakua zote izo makipa waliumia na kipa ana dk Tano za matibabu ukiachana na wachezaji wengine wa ndani.
Kwaiyo unatakiwa ujue Sheria na kanuni za mchezo ndugu mbumbumbu.
 
Yanga ila kweli Wana chuki Sana aisee na sisi.
Kuna haja tuwachangie pesa, wakafanyiwe operation ya kutoa mwiko...nahisi tatizo linaanzia huko.
 
Izo hazina shida kwakua zote izo makipa waliumia na kipa ana dk Tano za matibabu ukiachana na wachezaji wengine wa ndani.
Kwaiyo unatakiwa ujue Sheria na kanuni za mchezo ndugu mbumbumbu.
Kwa hiyo dakika huongezwa sababu ya kipa kuumia tu?
 
Back
Top Bottom