Inakusaidia nini ?Hajabanduliwa?
Elewa neno.Hajabanduliwa?
Uneandika kwa hisia sana, nimekuelewaAkili za mtu mweusi anazijua mwenyewe. Huko South Africa sasa wanataka watawaliwe na mzungu maana wamechoka na watawala weusi maana tangu waingie madarakani kila kitu walichopokea kutoka kwa mzungu vinataketea na sasa wanakopa pesa World Bank kama sisi wakati walikuwa na akiba ya kutosha. Mtu mweusi kamaliza zote kwa matumizi ya hovyo. Hakuna maji, hakuna umeme, shirika kubwa lao la ndege limekufa. Just imagine nchi kama Congo, Zimbabwe, Tanzania, Angola na nyinginezo ambazo zina natural resources nyingi sana but level of development iko chini sana pia na umaskini wa watu wake unatisha.. Shida yetu kubwa ni greed, ngono, ulevi, corruption, ushirikina na kulogana, kutopendana, ubinafsi haturidhiki. Ninaiba leo ninajenga gorofa bado nitaiba tena nijenge gorofa lingine na lingine bila kuwa na huruma na watu wa nchi yako au hata na kizazi kijacho kama vile hizo gorofa nitazitumia zote. Ninaiba pesa ninakwenda kuficha Ulaya na nikifa zinabakia hukohuko ambayo ni level ya ubinafsi ya kutisha. That is the level of stupidity ya mtu mweusi. Ahsanteni. Sijui tutapata wapi mtu wa kutubadilisha mind zetu tuondokane na haya otherwise mpaka kiama tutakuwa hivihivi. Tatizo lingine ukitaka kuleta change wanakuua na ndiyo maana wenye akili wangi wametorokea kwenda kubangaiza kwa wenzetu kitu ambacho sio sawa..
ukiwa na uwezo wa kuhoji kama hivi wanakuita MWANAHARAKATI ukiwauliza jeAkili za mtu mweusi anazijua mwenyewe. Huko South Africa sasa wanataka watawaliwe na mzungu maana wamechoka na watawala weusi maana tangu waingie madarakani kila kitu walichopokea kutoka kwa mzungu vinataketea na sasa wanakopa pesa World Bank kama sisi wakati walikuwa na akiba ya kutosha. Mtu mweusi kamaliza zote kwa matumizi ya hovyo. Hakuna maji, hakuna umeme, shirika kubwa lao la ndege limekufa. Just imagine nchi kama Congo, Zimbabwe, Tanzania, Angola na nyinginezo ambazo zina natural resources nyingi sana but level of development iko chini sana pia na umaskini wa watu wake unatisha.. Shida yetu kubwa ni greed, ngono, ulevi, corruption, ushirikina na kulogana, kutopendana, ubinafsi haturidhiki. Ninaiba leo ninajenga gorofa bado nitaiba tena nijenge gorofa lingine na lingine bila kuwa na huruma na watu wa nchi yako au hata na kizazi kijacho kama vile hizo gorofa nitazitumia zote. Ninaiba pesa ninakwenda kuficha Ulaya na nikifa zinabakia hukohuko ambayo ni level ya ubinafsi ya kutisha. That is the level of stupidity ya mtu mweusi. Ahsanteni. Sijui tutapata wapi mtu wa kutubadilisha mind zetu tuondokane na haya otherwise mpaka kiama tutakuwa hivihivi. Tatizo lingine ukitaka kuleta change wanakuua na ndiyo maana wenye akili wangi wametorokea kwenda kubangaiza kwa wenzetu kitu ambacho sio sawa..