Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti.
Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona aibu kua mimi ni mume wake, simply kwa sababu naonekana wa kawaida.
Tukiwa ndani hakuna shida ila nje ndo mtihani.
Wadada mungu hakupi vyote, mi usharobaro na ubraza men siuwezi. I feel disappointed.