Mwandani wangu hajivunii kua na mimi, ni kama anaona sio type yake

Mwandani wangu hajivunii kua na mimi, ni kama anaona sio type yake

Siku inakuja utalia na kusaga meno!hata delila alimfanya samson namna hio mwanzoni,mwisho kila mtu anafahamu nini kilitokea!!
 
Umenikumbisha mke wa Bro hivihivi, wakienda sehemu za gharama kufurahi mke anajinsnap picha ambayo Bro yupo anazicrop ndio azipost mtandaoni.
Kazi kweli.
Hawa Viumbe ni wa aina yake ukisema ufuatilie kila hatua unajikuta ndio kazi unayofanya kila siku na hailipi anakuja anataka umhudumie utashindwa na matusi yataanza
 
Back
Top Bottom