Mwandani wangu hajivunii kua na mimi, ni kama anaona sio type yake

Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti.

Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona aibu kua mimi ni mume wake, simply kwa sababu naonekana wa kawaida.

Tukiwa ndani hakuna shida ila nje ndo mtihani.

Wadada mungu hakupi vyote, mi usharobaro na ubraza men siuwezi. I feel disappointed.
Wewe hujikubali mbele za watu halafu unataka mkeo akukubali.....badili mfumo wa matazamio yako mkuu
 
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti.

Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona aibu kua mimi ni mume wake, simply kwa sababu naonekana wa kawaida.

Tukiwa ndani hakuna shida ila nje ndo mtihani.

Wadada mungu hakupi vyote, mi usharobaro na ubraza men siuwezi. I feel disappointed.
Pole Sana.

Mkuu self worth , au thamani yako hakikisha unajipa mwenyewe

MTU akupende au sikupende sio tatizo Ila hakikisha wewe unajipenda.

MTU akupe thamani asikupe sio tatizo wewe jipe thamani.

MTU akuchukulie kawaida sio tatizo Ila wewe usijichukulie kawaida.

Hakikisha unakuwa na dunia yako ambayo hautamruhusu kuweka miguu yake bali wewe tu.

Usimchukie MTU na usimuwazie MTU mabaya.

Ishi maisha yako mkuu hata akichukuliaaje hautoumia
 
mbunye sawa anatafuna anavyotaka lakini kuna ile hali ya kujisikia una kasoro ndio maana anakuonea aibu kwa watu.

Dawa ni kumzagamua mbunye kihuni unaipiga nje ndani kama unachimba maokoto.
[emoji23][emoji23]

Bichwa komwe we ni Ke au Me?
 
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti.

Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona aibu kua mimi ni mume wake, simply kwa sababu naonekana wa kawaida.

Tukiwa ndani hakuna shida ila nje ndo mtihani.

Wadada mungu hakupi vyote, mi usharobaro na ubraza men siuwezi. I feel disappointed.
Picha
 
Pole mkuu Ila ndio dunia ilivyo, kuna watu wanajali sana image zao haswa kwenye magroup ya watu wenye umri sawa, marafiki au hata kwenye career zao.
Muda mwingine sio kwamba hakupendi Ila akikulinganisha na waume za wenzie au wanaume walio kwenye circle yake. Anakuona kama hujafikia viwango anavyovihitahi kuendanana na image yake.

1. Kaa chini nae na umuulize ni kwa nini. Kama ni vitu unavyoweza kubadilisha haswa kama haviathiri mfumo wa maisha yako kiutafutaji au reputation yako, bhasi badilisha. Ila kama ana shida pengine na maumbile yako ya asili au wako wa kutafuta pesa, bhasi hilo ni tatizo lake binafsi mkuu la kushindwa kuchagua mtu sahihi kwake na usiache hizo tafsiri zake zikuchanganye maana tafsiri ni mtazamo na mila mtu ana wake. Bado wewe una thamani yako kwa wale watu wanaoiona katika tafsiri zao hivyo, usimpe hiyo power mtu mmoja na haijalishi unampenda kwa kiasi gani

2. Kuna watu baadhi wanakubali kuoa au kuolewa kwa sababu ya level wanayokuwepo, aidha ya kipato au tu ilitokea circumstance flani ambayo ilifanya akubali ndoa kirahisi kama ujauzito. Hawa wakipanda level kubwa zaidi ndio huja kuona walifanya makosa maana huwastahili. Hawa ni utoto na wenge la level mpya, wakiizoea wanatulia Ila kama ni asili yao Ila waliificha kwenye umaskini. Ni ngumu kuwabadilisha

Pole mkuu, ni aidha yatokee mabadiliko au uukubali uhalisia. Sala usiziache pia maana kuna mambo yanahitaji utulivu na majibu ya kiroho
 
Tafuta Wa Kufanana Nawe Bro, Achana Na Huyo Sister Duuh, Atafute Mabraza Men. Wwe Tafuta Mcha Mungu. Tatizo Sisi Vijana Tunataka Pisi Kali, Sijui Rangi Ya Mtume Ili Hali Unajua Huna Uwezo Wa Kummudu .
 
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti.

Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona aibu kua mimi ni mume wake, simply kwa sababu naonekana wa kawaida.

Tukiwa ndani hakuna shida ila nje ndo mtihani.

Wadada mungu hakupi vyote, mi usharobaro na ubraza men siuwezi. I feel disappointed.
Yalishawahi kunikuta nilichofanya nikawa busy na utafutaji wangu kuliko yeye nikawa free soul nikawa simpi attention nikifika home nawasha Tv nikiona nimechoka naingia JF au nasoma online books nikatafuta wa kunithamini nikawa busy nae .In short anaekukana mbele za watu wake we mkane gizani na kwa masela baadae nikamuambia mtoto aende bording ili tugawane njia ukawe huru na watu wako
 
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti.

Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona aibu kua mimi ni mume wake, simply kwa sababu naonekana wa kawaida.

Tukiwa ndani hakuna shida ila nje ndo mtihani.

Wadada mungu hakupi vyote, mi usharobaro na ubraza men siuwezi. I feel disappointed.
Huyo bado mtoto akikua ataacha
 
We utakua unavaa hovyo hovyo..utakuta umevaa ndala au yeboyebo muda wote, lazima mke aone aibu mbele ya umma
 
Sasa we uliliona hili kabisa bado ukamuoa!
Utateseka sana na hiyo ndoa!
 
Back
Top Bottom