Mwandani wangu hajivunii kua na mimi, ni kama anaona sio type yake

Unasubiri nn humo kwa huyo mlupo
 
Pole sana kaka .wadada wengi huwa hawaishi uhalisia wao wanafake iliwapate wanachoona kizuri ila sio cha kunipa heshima huwa n watoto wadg siku zote yan tuishi nao kwa akili na kuwasihii kila siku huwa wanabadilika.
 
Achana na mapenzi, njoo tusome vitabu, yaani ukizoea kusoma vitabu unaona vitu vingine vyotee vinakupotezea mda, ni wewe na vitabu, vitabu na wewe.
Hadi njaa huoni tena

Upwiru utausikia tu

Ni ipo hivo namim nijiunge?
 
Same situation. Same Story like mine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…