Mwandani wangu hajivunii kua na mimi, ni kama anaona sio type yake

Kaa uongee nae, kuna vitu vinarekebishika mdau, mfano mimi aliwahi nichana laivu kua havutiwi na kitambi changu.
Na kisipoisha hanipeleki ukweni. Mzee baba nilizama gym kazi moja tu kuondoa kitambi. And it worked nikawa na look good.
Japo baadae tuliachana huyu wa sasa bora liende ndambi limerudi kama mwanzo.
 
Pole sana
 
Kuishi na mtu wa aina hiyo ni kazi sana.pole bro.

Kama eneo lingine yuko vizuri nakushauri jenga muonekano wa kuvutia.

Pia nae anakosea badala ya kusema hawezi kutembea na wewe basi angeshuri nini kifanyike ili kuwa kama anavyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…