Ko wee ndo uliyeshitakiwa na huyo binti huko Mpanda? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda huyu mwandishi ni jasusi na kachero mpevu. Mwandishi wa kawaida ni ngumu kumlipua mkuu wa mkoa katika ufuska wake faraghani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CHADEMA WALIVYOITISHA MAANDAMANO ALIANDAMANA?. LETENI NA PICHA AKIANDAMANA TUAMSHE POPO LA AENDELEE NA KIBANO TU.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waja mna mambo nyiee. Khaaaah
 
tobaaaa, sasa wakat analazimisha kuingiza kule si ungemwambia hutaki, au na wewe ni mdau mkuu?
Hapana mkuu, mimi siyo mdau.

Tungi lilikuwa limezidi, halafu kila nikiitoa kule, anaiweka tena, kumbe anatafuta ushahidi wa kuja kunipiga hela.
 
Kumsingizia mtu kubaka kisa tu hamjakubaliana dau ni dhambi mbaya sana.

Huyo binti ipo siku yake.
 
huyo alikuwa mshenz wa tabia, na alilazimisha umwage ndani ili sperm zikawe ushahdi, mkuu ila uliuza mechi, ni kwamba alikuwa pisi ya kwenda au?
Haikuwa pisi kali wala nini, li malaya la kawaida tu.

Nilizidisha sana pombe siku hiyo.

Alipoanza kunitishia polisi nilitaka kukimbia, mwenyeji wangu kaniambia hakuna kukimbia, nina mwanasheria wangu yuko vizuri sana, twende wote polisi.

Demu alipopigiwa na polisi aje akaogopa, halafu polisi walikuwa na taarifa za huo wizi wake, walitaka wamdake.

Alishaliza watu wengi kwa staili hiyo.
 
Nahisi yule boda alikata rufaa na kesi alishinda.
 
Sasa mwanasheria P, binti wa miaka 16 akitoroka kwao na kuja kwako sheria inasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…