Mwandishi aliyeandika tuhuma za RC Simiyu adaiwa kukamatwa na Polisi
Hii kesi mimi ilinikuta Mpanda.

Binti anataka laki nne ama akaniripoti polisi kwamba nimefanya kinyume na maumbile. Bahati nzuri mimi nikaenda kuripoti kabla yake.

Polisi wakampigia aje kituoni akakimbia.

Hizo huwa ni blackmail, and i will never pay blackmail bora nifungwe.
Ko wee ndo uliyeshitakiwa na huyo binti huko Mpanda? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda huyu mwandishi ni jasusi na kachero mpevu. Mwandishi wa kawaida ni ngumu kumlipua mkuu wa mkoa katika ufuska wake faraghani
 
Yule RC hakujiongeza, alinyamaza akiamini mambo yangeishia ndani ya gari kumbe kabinti kakasonga mbele, RC kuja kushtuka ameshawahiwa ikabidi aanze kutuliza hali kwa kukatuliza kabinti kwa kukapa hela kafute kesi, na vitoto vikishupalia jambo huwa vina viherehere haviskii...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
CHADEMA WALIVYOITISHA MAANDAMANO ALIANDAMANA?. LETENI NA PICHA AKIANDAMANA TUAMSHE POPO LA AENDELEE NA KIBANO TU.
 
Hamna, Yeye ndio aliiweka kule, kila nikiitoa anaiweka tena.

Asubuhi niko zangu Nsemulwa kwa Mkumbo nakula Makongoro, mtu ananitumia meseji.'' Jana umeniumiza nipe hela niende hospitali'' Nauliza sh ngapi? Eti ''Laki nne''.

Nikamwambia go to hell!

Yaani tukutane Digital usiku, unywe ujidai umelewa sana ukanifirishe, halafu uanze kudai laki nne.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waja mna mambo nyiee. Khaaaah
 
tobaaaa, sasa wakat analazimisha kuingiza kule si ungemwambia hutaki, au na wewe ni mdau mkuu?
Hapana mkuu, mimi siyo mdau.

Tungi lilikuwa limezidi, halafu kila nikiitoa kule, anaiweka tena, kumbe anatafuta ushahidi wa kuja kunipiga hela.
 
Kuna mwamba alisema hapo rock city ndo kiwanja chake, na alishamchukua kwa 50k na badae akataka nyongeza ili atoe kule jamaa akamwambia sio mdau wa kule, hako kabint ni shida since 2019, kuna boda alikula mvua 30 kisa hako ka bint kumsingizia kukabaka, soma comment ya mayalla
Kumsingizia mtu kubaka kisa tu hamjakubaliana dau ni dhambi mbaya sana.

Huyo binti ipo siku yake.
 
sasa mkuu ukianza kutamka maza huoni kuwa utakosa uteuzi wakati huwa tunakutakia heri nawe upate uteuzi?
Hii ni social media, Maza ni jina la heshima sana, kulitumia kwenye social media hakuna tatizo kabisa. Asanteni kunitakia heri kwenye uteuzi, niliishatoaga msimamo wangu kuhusu teuzi Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
Na pia nikaandika makala
1718367686393.png

Hivyo amenisoma.
P.
 
huyo alikuwa mshenz wa tabia, na alilazimisha umwage ndani ili sperm zikawe ushahdi, mkuu ila uliuza mechi, ni kwamba alikuwa pisi ya kwenda au?
Haikuwa pisi kali wala nini, li malaya la kawaida tu.

Nilizidisha sana pombe siku hiyo.

Alipoanza kunitishia polisi nilitaka kukimbia, mwenyeji wangu kaniambia hakuna kukimbia, nina mwanasheria wangu yuko vizuri sana, twende wote polisi.

Demu alipopigiwa na polisi aje akaogopa, halafu polisi walikuwa na taarifa za huo wizi wake, walitaka wamdake.

Alishaliza watu wengi kwa staili hiyo.
 
hako kabinti ni issue!, kalimfunga dereva boda boda akapigwa mvua 30 kwa kesi ya kubaka wakati in reality ni yeye mwenyewe alitoroka kwao akahamia kwa dereva boda!. Ushahidi wa kubakwa ni uchunguzi wa hospital na kukutwa hana seal!hivyo boda akafungwa miaka 30!.

P
Nahisi yule boda alikata rufaa na kesi alishinda.
 
hako kabinti ni issue!, kalimfunga dereva boda boda akapigwa mvua 30 kwa kesi ya kubaka wakati in reality ni yeye mwenyewe alitoroka kwao akahamia kwa dereva boda!. Ushahidi wa kubakwa ni uchunguzi wa hospital na kukutwa hana seal!hivyo boda akafungwa miaka 30!.

P
Sasa mwanasheria P, binti wa miaka 16 akitoroka kwao na kuja kwako sheria inasemaje?
 
Back
Top Bottom