Haiondoi tuhuma zinazomkabili mtuhumiwaWatu wanapenda kushangilia wenzao wakipata majanga.
Inasemekana huyo binti ni malaya mzoefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiondoi tuhuma zinazomkabili mtuhumiwaWatu wanapenda kushangilia wenzao wakipata majanga.
Inasemekana huyo binti ni malaya mzoefu.
Weka wimbo huo hapaSiri Imefichuka, kosa la Mesenja kaleta balaa 😂😂😂
Kwako mrangi ova
Pascal Mayalla awamu hii kila mtu anataka kula kwa urefu wa kamba yake. Yawezekana huyu mwandishi yuko kwenye kamba ya sakata hili.Duh...!, hizi mambo zimeanza tena?!..., au Maza nae anaelekea kuwa like Maza like Faza?!.
Tusubirie taarifa ya Edwin Soko wa MPC, kuthibitisha ni polisi maana Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
Huyo hakuwa na back up tu, angepata wazoefu wakampa shule angekusumbua sana tuAcha tu ndugu yangu, hawa mabinti wanatufanyisha vibaya. Tena alilazimisha kabisa nimwagie kule kule, kumbe alikuwa anatafuta ushahidi.
Alikula 7yrs kwa kosa la kumficha binti sio la kubakaNahisi yule boda alikata rufaa na kesi alishinda.
Thanks kwa kunisahihisha, nimerejelea hukumu upya nimeona.Alikula 7yrs kwa kosa la kumficha binti sio la kubaka
Maana kwa maelezo ya binti yeye mwenyewe alidanganya kwa wazazi anaenda shule kumbe anaenda kwa jamaa
kwa hiyo ana uzoefu wa kufanya mchezo huo? Basi nacho kahojiwe vema kujua historia yake katika mchezo huo huenda ni kashetani fulani hiviKuna mwamba alisema hapo rock city ndo kiwanja chake, na alishamchukua kwa 50k na badae akataka nyongeza ili atoe kule jamaa akamwambia sio mdau wa kule, hako kabint ni shida since 2019, kuna boda alikula mvua 30 kisa hako ka bint kumsingizia kukabaka, soma comment ya mayalla
Nchi ya hovyo snNchi ngumu sana hii. Hapo atatafutiwa kesi ya utakatishaji fedha, uchochezi, ukiukaji wa maudhui ya kuweka taarifa mtandaoni, kuendesha chombo cha habari huku akiwa hana kibali, nk.
Yeah. Kashfa zingine bhana zinaweza kupigwa danadana ila sio hii manake inamchafulia na kuifedhehesha mno Serikali yake. Yes, Mama yuko smart- anamuondolea kinga chap' halafu anamwacha ili wenye kazi zao wacheze nae kidukuNgoja tusubirie ukweli maana sasa inaonekana mkorogo umeanza. Ila mi nasema hata kama wanamdhibiti mama kutokana na uwezo wake namsifu akipata hizi habari za kidhalimu kuhusu wateule wake anawatema hapohapo. Mnakumbuka yuke naimu waziri wa sheria aliyetuhumiwa kumdhalilisha yuke kijana babati mama alimtema hapohapo. Na haka kakora siju alikateua kwa ushauri wa nani kakatema hapohapo. Kwa hili heko mama.

Ndio mana taarifa ya daktari ilikosa mashiko kwa sababu daktari hakuweza kujua kama ndo first time au walishapita wengi.kwa hiyo ana uzoefu wa kufanya mchezo huo? Basi nacho kahojiwe vema kujua historia yake katika mchezo huo huenda ni kashetani fulani hivi

Huyu ni lazima akamatwe kwa sababu tuwezekano mkubwa ni kwamba ukio lhili lilikuwa ni dili; wanaweza kuwa wamepewa pesa hawa
Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi huyu amekamatwa Tarime usiku wa kuamkia Juni 13, 2024.
Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu kakamatwa Tarime mkoani Mara na Askari kutoka mkoa wa Mwanza na amesafirishwa kwenda Mwanza .
Matukio Daima Media inamtafuta RPC wa Mara na Mwanza kwa taarifa kamili.
CHANZO - MATUKIO DAIMA MEDIA
============
Awali, kulikuwa na taarifa kuwa amesafirishwa kwenda Mwanza lakini Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC), Edwin Soko amesema “Ni kweli tumejulishwa kuwa baada ya kukamatwa akiwa Tarime walitaka kumleta Mwanza na wakati wanaondoka naye wakasema wanamleta Mwanza ila huku hajafika, inavyoonekana yupo hukohuko Tarime.”
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC), Mugini Jacob amesema “Alikamatwa na Askari Polisi, jana jioni majira ya Saa Mbili Usiku (Juni13, 2024), akafikishwa Kituo cha Polisi Tarime, nilionana na Dinna lakini alikuwa hajaambiwa kosa lake ni lipi.”
JESHI LA POLISI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya, SACP Mark Njera hajapatikana kuzungumzia kinachoendelea.
=================
Mara Press Club yaliomba Jeshi la Polisi Mwanza kuweka wazi tuhuma za mwandishi wa habari Dinna
Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC) imeliomba Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kuweka wazi tuhuma zinazomkabili mwandishi wa habari wa blogu ya Dima Online, Dinna Maningo.
“Tuna imani Jeshi la Polisi mkoani Mwanza litatoa taarifa kuhusu tuhuma zinazomkabili mwandishi na mwanachama wetu wa Mara Regional Press Club, ndugu yetu Dinna Maningo bila kuchelewa," Mwenyekiti wa MRPC, Mugini Jacob amesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo Juni 14, 2024.
Jacob amesema Dinna alikamatwa nyumbani kwake mjini Tarime, Mara jana majira ya saa mbili usiku na hadi leo mchana alikuwa anashikiliwa katika kituo cha polisi Tarime
“Mara tu baada ya kukamatwa kwa Dinna nilipata taarifa na nilifika kituo cha polisi Tarime, tukaonana, alikuwa vizuri lakini aliniambia polisi waliomkamata hawakumwambia sababu ya kumkamata," Jacob amesema kwa kifupi.
Jacob amesema leo Ijumaa pia amefika katika kituo cha polisi Tarime na kuonana na Dinna ambapo amemueleza kuwa askari polisi waliomkamata wamemwambia wanamsafirisha kwenda jijini Mwanza wakati wowote kuanzia sasa.
Hata hivyo, Mwenyekiti huyo amesema MRPC inawasiliana kwa karibu na uongozi wa Mwanza Press Club ili kusaidiana kufuatilia tukio hilo.
“Tuna imani jeshi letu la polisi litafanya kazi yake kwa weledi ili haki iweze kutendeka kwa wakati," amesema Jacob.
Chanzo: maraonlinenews
Unamaanisha na kugongwa mezani juu?Naunga mkono hoja, na kugonga meza juu "pah pah pah"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Deal wakati victim kaenda ku-report mwenyewe na ameenda kutoa vipimo kama ushahidi.Huyu ni lazima akamatwe kwa sababu tuwezekano mkubwa ni kwamba ukio lhili lilikuwa ni dili; wanaweza kuwa wamepewa pesa hawa
Huyu ni halali kabisa kukamatwa
Hakuna kitu kama hicho broo. Walikuwa na mahusiano ya muda mrefu halafu hao ni watu wazima(Adults). Huyo binti ni mzoefu ila sema tu Dili (tozo)lilibumbaDeal wakati victim kaenda kaenda ku-report mwenyewe na ameenda kutoa vipimo.
Mabaradhuli kama nyie mnaotetea huo ushenzi utakuta ndio tabia zenu kuwachukua mabinti kuwalewesha saa zingine kuwawekea mihadharati na kuwafanyia mambo ya hovyo.
Huyo mkuu wa mkoa kabaka hakuna kingine.
Mimi wala sina tatizo tundu gani kaingiliwa na kwa umri wake sheria inamruhusu kufanya tendo la ndoa na mtu wa umri wa rika linaloruhusiwa.Hakuna kitu kama hicho broo. Walikuwa na mahusiano ya muda mrefu halafu hao ni watu wazima(Adults). Huyo binti ni mzoefu ila sema tu Dili (tozo)lilibumba
na kwa uzoefu wake akajua la kumfanya huyo kidume ili kumkomoa. Na kweli kamkomoa.
Daaah !!!!!Naunga mkono hoja, na kugonga meza juu "pah pah pah"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matukio haya sasa yamezidi sio chini ya mara5 naskia hz mambo sasa hzo haki zi nazosifiwa kila siku haki za waandishi zko wapi? Au ndo danganya totoo!!
Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi huyu amekamatwa Tarime usiku wa kuamkia Juni 13, 2024.
Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu kakamatwa Tarime mkoani Mara na Askari kutoka mkoa wa Mwanza na amesafirishwa kwenda Mwanza .
Matukio Daima Media inamtafuta RPC wa Mara na Mwanza kwa taarifa kamili.
CHANZO - MATUKIO DAIMA MEDIA
============
Awali, kulikuwa na taarifa kuwa amesafirishwa kwenda Mwanza lakini Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC), Edwin Soko amesema “Ni kweli tumejulishwa kuwa baada ya kukamatwa akiwa Tarime walitaka kumleta Mwanza na wakati wanaondoka naye wakasema wanamleta Mwanza ila huku hajafika, inavyoonekana yupo hukohuko Tarime.”
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC), Mugini Jacob amesema “Alikamatwa na Askari Polisi, jana jioni majira ya Saa Mbili Usiku (Juni13, 2024), akafikishwa Kituo cha Polisi Tarime, nilionana na Dinna lakini alikuwa hajaambiwa kosa lake ni lipi.”
JESHI LA POLISI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya, SACP Mark Njera hajapatikana kuzungumzia kinachoendelea.
=================
Mara Press Club yaliomba Jeshi la Polisi Mwanza kuweka wazi tuhuma za mwandishi wa habari Dinna
Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC) imeliomba Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kuweka wazi tuhuma zinazomkabili mwandishi wa habari wa blogu ya Dima Online, Dinna Maningo.
“Tuna imani Jeshi la Polisi mkoani Mwanza litatoa taarifa kuhusu tuhuma zinazomkabili mwandishi na mwanachama wetu wa Mara Regional Press Club, ndugu yetu Dinna Maningo bila kuchelewa," Mwenyekiti wa MRPC, Mugini Jacob amesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo Juni 14, 2024.
Jacob amesema Dinna alikamatwa nyumbani kwake mjini Tarime, Mara jana majira ya saa mbili usiku na hadi leo mchana alikuwa anashikiliwa katika kituo cha polisi Tarime
“Mara tu baada ya kukamatwa kwa Dinna nilipata taarifa na nilifika kituo cha polisi Tarime, tukaonana, alikuwa vizuri lakini aliniambia polisi waliomkamata hawakumwambia sababu ya kumkamata," Jacob amesema kwa kifupi.
Jacob amesema leo Ijumaa pia amefika katika kituo cha polisi Tarime na kuonana na Dinna ambapo amemueleza kuwa askari polisi waliomkamata wamemwambia wanamsafirisha kwenda jijini Mwanza wakati wowote kuanzia sasa.
Hata hivyo, Mwenyekiti huyo amesema MRPC inawasiliana kwa karibu na uongozi wa Mwanza Press Club ili kusaidiana kufuatilia tukio hilo.
“Tuna imani jeshi letu la polisi litafanya kazi yake kwa weledi ili haki iweze kutendeka kwa wakati," amesema Jacob.
Chanzo: maraonlinenews
Hapa Mkuu umenena vyema.Huyu ndiye aliyefichua mambo.Kuna ubaya gani kwenda kutoa ushirikiano polisi ? Tatizo watu wana midomo mirefu kama chupa,Kazi umbea tuuuuuu,Hajakamatwa, amechukuliwa kwenda kuthibitisha alichokiandika.
Why the negativity? Kwa nini usiheshimu kazi za wenziyo ukasubiri taarifa rasmi? Activists!Nchi ngumu sana hii. Hapo atatafutiwa kesi ya utakatishaji fedha, uchochezi, ukiukaji wa maudhui ya kuweka taarifa mtandaoni, kuendesha chombo cha habari huku akiwa hana kibali, nk.