Mwandishi aliyeandika tuhuma za RC Simiyu adaiwa kukamatwa na Polisi
Google translator:
14 June 2024
Mwanza, Tanzania

News Alert: The author who broke the news about the Governor of Simiyu region in Tanzania has been arrested by the Police​


There are reports of the arrest of Journalist, Ms. Dinna Maningo, who is also the owner of Dima Online, who published for the first time the information of the alleged rape committed by the governor of Simiyu which caused him to be sacked from the office , the reporter has now been arrested in Tarime District on the night of June 13, 2024.

Initial reports claim that this writer was arrested in Tarime in Mara region by police officers from Mwanza region and has been transported back to Mwanza.


NEWS IN DETAIL :

Initially, there was information that she had been transported to Mwanza but the Chairman of the Mwanza Regional Journalists' Club (MPC), Mr. Edwin Soko said "It is true that we were informed that after she was arrested in Tarime they wanted to bring her to Mwanza.

The Chairman of the Mara Regional Journalists' Club (MRPC), Mugini Jacob said "She was arrested by the Police, yesterday evening at 2am in the morning (June 13, 2024), she was then brought to the Tarime Police Station, I met with Dinna but up to now she had not been told of her crime which she committed.”

POLICE FORCE
Tarime Rorya Regional Police Commander, SACP Mark Njera when we tried to reach out to him to give us the details of the reason for arresting the reporter, he was not available in the office to discuss the matter.

=================

Mara Press Club asked the Mwanza Police Force to clarify the accusations against journalist Dinna

The Mara Region Journalists' Club (MRPC) has requested the Police Force in Mwanza region to come out clear on the allegations against the journalist of the Dima Online blog, Ms. Dinna Maningo.

"We are confident that the Police Force in Mwanza region will provide information about the allegations against our writer and member of the Mara Regional Press Club, Ms. Dinna Maningo without delay," MRPC Chairman, Mugini Jacob said in his statement to the media today June 14, 2024 .

Jacob said Dinna was arrested at her home in Tarime, yesterday around 2:00 pm and until this afternoon she was being held at the Tarime police station.

"Immediately after Dinna's arrest, I received information and I arrived at the Tarime police station, we met each other, she was fine but she told me that the police who arrested her did not tell her the reason for arresting her," Jacob said in short.

Jacob said today, Friday, he also arrived at the Tarime police station and met with Dinna, where he told her that the police officers who arrested her told him that they would transport her to Mwanza anytime from now.

However, the Chairman of the Press Club has said that the MRPC is in close contact with the leadership of the Mwanza Press Club to help monitor the evolving incident.

"We believe our police force will do its work professionally so that justice can be done on time," said Jacob.

Chanzo: maraonlinenews
 
Duh...!, hizi mambo zimeanza tena?!..., au Maza nae anaelekea kuwa like Maza like Faza?!.
Tusubirie taarifa ya Edwin Soko wa MPC, kuthibitisha ni polisi maana Waandishi wa Habari na Kupotea/Vifo vya Kutatanisha, Toka Katabalo, Saanane, Gwanda, Mwangosi, Isango. Ni Ama Tuombe Mungu Atunusuru ama...
P
Shida ni kutumika na kuahidiwa 10000 shida ipo hapa
Ni mchezo unachezwa. Aliyetuhumiwa anafanya yake pembeni..
siku polisi wakijitambua basi tutavuka Ng’ambo ile..
 
kwa hiyo ana uzoefu wa kufanya mchezo huo? Basi nacho kahojiwe vema kujua historia yake katika mchezo huo huenda ni kashetani fulani hivi
unaambiwa ni katoa tigo kalikokubuhu, inawezekana mh hakukafukunyua vzuri ndo maana kakaleta za kuleta, hako katoto ni kashetan, some comment ya mayala utaelewa ushetwain wa [/QUOTE]unaambiwa ni katoa tigo kalikokubuhu, inawezekana mh hakukafukunyua vzuri ndo maana kakaleta za kuleta, hako katoto ni kashetan, some comment ya mayala utaelewa ushetwain wa hako katoto.
 
Uwezo wa huyu mama kuongoza nchi ni mdogo mno,anapenda kusifiwa tu kama alivyokuwa Magufuli,kuna makumi ya watu wamepotea Tangu Samia awe Rais,bado Tanzania siyo salama hata kidogo kwa waandishi werevu wa Habari,labda makanjanja ya CCM ndo yapo salama,yote kwa yote, MUNGU yupo,yuko wapi Magufuli?
Duniani tunapitia ttu,acha watese watu ipo siku yao.
Umesema ukweli kabisa!
 
Kile kisanvu cha dada mwanachuo kilichopelekwa kwa mkemia majibu yake yanasemaje?

Mbona kakamatwa huyu peke ake na wakati waandishi na media kibao zimeripoti hili suala??
 
Hapa Mkuu umenena vyema.Huyu ndiye aliyefichua mambo.Kuna ubaya gani kwenda kutoa ushirikiano polisi ? Tatizo watu wana midomo mirefu kama chupa,Kazi umbea tuuuuuu,
Kama ameitwa kwa heri na si shari kama unavyodai, ilishindikana nini kumpigia simu ya wito na akaenda mwenyewe Polisi station badala ya hiki walichokifanya Polisi?
 

Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi huyu amekamatwa Tarime usiku wa kuamkia Juni 13, 2024.

Taarifa za awali zinadai kuwa mwandishi huyu kakamatwa Tarime mkoani Mara na Askari kutoka mkoa wa Mwanza na amesafirishwa kwenda Mwanza .

Matukio Daima Media inamtafuta RPC wa Mara na Mwanza kwa taarifa kamili.


CHANZO - MATUKIO DAIMA MEDIA

============


Awali, kulikuwa na taarifa kuwa amesafirishwa kwenda Mwanza lakini Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (MPC), Edwin Soko amesema “Ni kweli tumejulishwa kuwa baada ya kukamatwa akiwa Tarime walitaka kumleta Mwanza na wakati wanaondoka naye wakasema wanamleta Mwanza ila huku hajafika, inavyoonekana yupo hukohuko Tarime.”

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC), Mugini Jacob amesema “Alikamatwa na Askari Polisi, jana jioni majira ya Saa Mbili Usiku (Juni13, 2024), akafikishwa Kituo cha Polisi Tarime, nilionana na Dinna lakini alikuwa hajaambiwa kosa lake ni lipi.”

JESHI LA POLISI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya, SACP Mark Njera hajapatikana kuzungumzia kinachoendelea.

=================

Mara Press Club yaliomba Jeshi la Polisi Mwanza kuweka wazi tuhuma za mwandishi wa habari Dinna

Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara (MRPC) imeliomba Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kuweka wazi tuhuma zinazomkabili mwandishi wa habari wa blogu ya Dima Online, Dinna Maningo.

“Tuna imani Jeshi la Polisi mkoani Mwanza litatoa taarifa kuhusu tuhuma zinazomkabili mwandishi na mwanachama wetu wa Mara Regional Press Club, ndugu yetu Dinna Maningo bila kuchelewa," Mwenyekiti wa MRPC, Mugini Jacob amesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo Juni 14, 2024.

Jacob amesema Dinna alikamatwa nyumbani kwake mjini Tarime, Mara jana majira ya saa mbili usiku na hadi leo mchana alikuwa anashikiliwa katika kituo cha polisi Tarime

“Mara tu baada ya kukamatwa kwa Dinna nilipata taarifa na nilifika kituo cha polisi Tarime, tukaonana, alikuwa vizuri lakini aliniambia polisi waliomkamata hawakumwambia sababu ya kumkamata," Jacob amesema kwa kifupi.

Jacob amesema leo Ijumaa pia amefika katika kituo cha polisi Tarime na kuonana na Dinna ambapo amemueleza kuwa askari polisi waliomkamata wamemwambia wanamsafirisha kwenda jijini Mwanza wakati wowote kuanzia sasa.

Hata hivyo, Mwenyekiti huyo amesema MRPC inawasiliana kwa karibu na uongozi wa Mwanza Press Club ili kusaidiana kufuatilia tukio hilo.

“Tuna imani jeshi letu la polisi litafanya kazi yake kwa weledi ili haki iweze kutendeka kwa wakati," amesema Jacob.

Chanzo: maraonlinenews


==================



=====

Pia soma: MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Tundu Lissu huwa anatoa elimu mara kwa mara kwa raia ili waelewe jinsi kukamatwa na polisi kwa tuhuma yoyote ile. Tena huyu mwamba mpaka hutoa demostration ya yeye mwenyewe anavyowabana polisi kufuata sheria ya ukamataji watuhumiwa. Sasa inakuwaje watu wanakuwa hawaelewi tu...?

Halafu huyu tunaambiwa ni mwandishi wa habari...

Lakini inashangaza kuwa mwandishi mzima wa habari anakubali kubebwa na polisi, kulazwa ndani ya selo ya polisi (police cell) siku kadhaa bila hata kujulishwa kosa lake na pengine hata hajui kuwa waliomkamata ni polisi au majambazi tu...!!

Utaratibu wa kisheria wa kukamatwa unamtaka afisa wa polisi anayetekeleza tendo hilo kwanza kujitambulisha, kisha kumwambia mtuhumiwa kosa lake, amjulishe mtuhumiwa kituo cha polisi anachompeleka na ampe haki ya kuwataarifu ndugu zake na wakili wake kuwa amekatwa na polisi...

Lakini huyu bibie eti kakubali kubebwa tu kama gunia la mahindi..
 
  • Thanks
Reactions: I M
Back
Top Bottom