Mwandishi Andrew Chale anusurika kutekwa na watu wasiojulikana

Mwandishi Andrew Chale anusurika kutekwa na watu wasiojulikana

Jaman wap tuendako kwa mtndo huu? Kuna haja ya kutafakari kwa kila mmoja juu ya matukio haya yanayoendelea kufukiza moshi mweusi ktk anga ya Tanzania
 
Hao sio TISS nadhani, yaani wakufuatilie wasijue unapokaa?? Watakuwa wahuni tu wenye lengo binafsi!!Pole sana mwandishi wa habari, kilichobaki ni kuandika udaku wa bongo movies na bongofleva tu vinginevyo wanaku-Ulimboka!!
 
'MTEKAJI' WANAHABARI WA SAFARI HII NI KAMANDA MBOWE NA TAYARI MWIGULU NCHEMBA ANALO TOLEO JIPYA LA SINEMA HIYO YA 'COMING SOON IN TOWN'

Mwigulu Nchemba hebu rudi haraka kutoka huko JKT ukatuchongee mkanda mwingine maana kwa sasa yule mtaalam mwenzako, Joseph Ludovick, hapatikani tena mtaani.

Kwenye huo mkanda mpya napendekeza Kamanda wetu wa Anga, Freeman Mbowe, ndiye awe mhusika mkuu kwa kuwa uhusika mkuu wa Kamanda Lwakatare wala haikunoga saaana vile.

Hebu katumie ile ile Teknolojia ya Kikatuni (Animation) ili ukamlishe Kamanda Mbowe anavyopanga kumteka mfanyakazi wake mwanahabari wa pale pale Tanzania Daima kwa kuwa wameonekana kumuandika vibaya sana pamoja na chama chake CHADEMA.
 
SASA NAONA MA MEMBER HUMUHUMU JUKWAA LA SIASA TUTAANZA KUFUATWA MAOFISINI

'mimi naiona 110 ya POLISI inanifuatia ndani ya kidaladala, kwani kilongalonga changu cha B/B kilituma habari muhimu kuhusu Pikipiki za tiGo'

Hii Nchi sasa wanaojua kutumia Typewriter tutakoma bora tushike majembe maana wenye kushika bunduki ni wababe zaidi yetu washika kalamu

Pole waandishi wote
 
Na mimi nilikoswakoswa. This is a big problems to us.

Is this self-defense????
 
anatafutu jina na yeye ajulikane .poor mwandishi wa habari sinza
 
Eeh! ameripoti kituo kipi cha Usalama?

Kwa akili yako kwa sasa Tanzania hii kuna kituo cha Usalama cha kutoa taarifa juu ya mambo kama hayo? ukienda kutoa taarifa usishangae ukatolewa kucha na meno + jicho na mwisho wa siku wakabambikiwa kesi watu wengine.
 
Ikulu kazi wanayo...mtaua wangapi sasa?mbona ni aibu sana?JF tujiandae sana....tunakoenda ni hatari zaidi
 
Anatafuta umaarufu huyu this is cheap popularity........atekwe na yeye awe famous sio bla bla blaa
 
Mtaungaunga sn ili kubalance mlichokifanya kwa ki-hut. Hapo hakuna cha polisi kumfuatilia wala nini. Ni stori zile zile eti ionekane polisi walitaka kumteka.
 
Itabidi vyuo vya uandishi wa habari viongeze somo la self defence kwenye mitaala yao.
 
mbona hawa polisi wanatishia usalama wa raia badala ya kuulinda?
sasa wao wasipokuwa mfano mzuri wa kuigwa uhalifu utaisha Tanzania hii kweli?
 
Back
Top Bottom