johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Musiba ni msemaji wa taasisi gani?Puppet Musiba nae amejibu utumbo wake uko you tube.
Tuwaulize nyinyi wenye mamlaka na wala haguswi na polisi.Musiba ni msemaji wa taasisi gani?
Hasumbuliwi ni wajibu wake na analipwa mishahara!Hakuna haja ya kuwajibu wahuni wachache wa bunge hilo. sioni tatizo lolote hapo hadi kumfikia kumsumbua msemaji mkuu wa serikali
Labda iko clear kwenu wapinzani!Ufafanuzi wa Nini wakati taarifa ya Bunge la EU iko clear
Kama anamaanisha Dr Abas aitafsiri kwa Kiswahili ili kila M Tanzania aelewe
Kwani kasemaje huyo musiba?Tuwaulize nyinyi wenye mamlaka na wala haguswi na polisi.
Akikujibu nishtueTuwaulize nyinyi wenye mamlaka na wala haguswi na polisi.
Hujui amekuwa akisemaje??Kwani kasemaje huyo musiba?
Mwanaharakati huru anayeongea kwa uhuru bila kufungamana kiitikadi!Hujui amekuwa akisemaje??
Wewe hujaelewa nini ?Labda iko clear kwenu wapinzani!
Mwanaharakati huru anayeongea kwa uhuru bila kufungamana kiitikadi!
Hakuna haja ya kuwajibu wahuni wachache wa bunge hilo. sioni tatizo lolote hapo hadi kumfikia kumsumbua msemaji mkuu wa serikali
Ni msemaji wa mekoMusiba ni msemaji wa taasisi gani?