johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Ndio maana mnamuogopa!Ni msemaji wa meko
Ndio maana mnamuogopa!Ni msemaji wa meko
Hagusiki yuleNdio maana mnamuogopa!
English tatizo kwako ?Hoja yao ni nini?
Basi!
Musiba ni Speaker la MekoMusiba ni msemaji wa taasisi gani?
Siyo kama Tumaini?Hagusiki yule
Mkuu watu wanaulizia Hela ya walipa kodi wao (euro million 27) !!, unawaitaje wahuni ?Hakuna haja ya kuwajibu wahuni wachache wa bunge hilo. sioni tatizo lolote hapo hadi kumfikia kumsumbua msemaji mkuu wa serikali
Inawezekana, tutafsirie basi hata kwa kifipa!English tatizo kwako ?
CCM.Musiba ni msemaji wa taasisi gani?
Ingekuwa ni suala la uongo hilo linalozungunziwa na mabeberu saa hv hata Kabudi angekuwa ashatoa mimacho mikubwa kuonesha confidence, lkn kwa hili its hard to try!!!Akizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dr Abbas atoke hadharani kuelezea sakata la bunge la EU na Tanzania.
Moses anasema hakuna sababu ya kulinyamazia swala hili kwani linagusa maisha ya watanzania wote na kwamba taarifa ya balozi wetu Ubelgiji haitoshi na haiwafikii wananchi wote.
Kipindi kinaendelea......
Ni Star tv
Maendeleo hayana vyama!
"WAHUNI WACHACHE?" Ama kweli siasa zimetufikisha pabaya,unadhani bunge la ulaya lina wabunge wahuni kama tulio nao ? kama hujui wale ni wawakilishi wa nchi zao kwenye bunge la ulaya na sidhani kama kuna nchi ya ulaya itapeleka mhuni kwenye hilo bunge,umezisikia hoja za wale wabunge? au umedandia uzi juu kwa juu ili uonekane na wewe umechangia. kwa taarifa tu kujibu ni kiherehere chetu wala hawajataka majibu toka kwetu,ni kuhusu utaratibu tu wa kibunge kwamba kila jambo linaanzia kwenye kamati na baadae kwenye bunge zima ndipo yanakotolewa maazimio.Hakuna haja ya kuwajibu wahuni wachache wa bunge hilo. sioni tatizo lolote hapo hadi kumfikia kumsumbua msemaji mkuu wa serikali
Kasema anataka umzalie mtoto mmoja na apewe jina la "Jizi la Kura"Kwani kasemaje huyo musiba?
Wewe umemzalia wangapi?Kasema anataka umzalie mtoto mmoja na apewe jina la "Jizi la Kura"
Ukweli tutaujua tu,kama maendeleo hayana chama.Akizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dkt. Abbas atoke hadharani kuelezea sakata la bunge la EU na Tanzania.
Moses anasema hakuna sababu ya kulinyamazia swala hili kwani linagusa maisha ya watanzania wote na kwamba taarifa ya balozi wetu Ubelgiji haitoshi na haiwafikii wananchi wote.
Kipindi kinaendelea....
Ni Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Chato NGO!Musiba ni msemaji wa taasisi gani?
Ajibiwe nini? kwa amekaa kimya ww mmekosa amani.Akizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dkt. Abbas atoke hadharani kuelezea sakata la bunge la EU na Tanzania.
Moses anasema hakuna sababu ya kulinyamazia swala hili kwani linagusa maisha ya watanzania wote na kwamba taarifa ya balozi wetu Ubelgiji haitoshi na haiwafikii wananchi wote.
Kipindi kinaendelea....
Ni Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Hili Jina la Mathew limebadilika lini na sasa linaandikwa Methew kama linavyoonekana hapa? Kujibu Hoja yako unataka Kuniambia kuwa huyo Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa Kisukuma Moses Mathew pamoja na Kujimwambafai Kwake na Elimu Kubwa pamoja na Exposure ameshindwa tu kujua kuwa akiongea Balozi tayari Nchi husika imeshaongea? Mwambie ajitahidi sana Kujielimisha kuhusu mambo ya Kidiplomasia.Akizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dkt. Abbas atoke hadharani kuelezea sakata la bunge la EU na Tanzania.
Moses anasema hakuna sababu ya kulinyamazia swala hili kwani linagusa maisha ya watanzania wote na kwamba taarifa ya balozi wetu Ubelgiji haitoshi na haiwafikii wananchi wote.
Kipindi kinaendelea....
Ni Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Naomba nikueleze wewe unayedhani una akili kuliko CCM wote. Wapo CCM wana akili wanajua vizuri muziki huu ulivyo mzito.Hakuna haja ya kuwajibu wahuni wachache wa bunge hilo. sioni tatizo lolote hapo hadi kumfikia kumsumbua msemaji mkuu wa Serikali
Naye Lissu, kibaraka wa mabeberu, anaweza kujibu jinsi atakavyomudu maisha yake na familia baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi Mkuu. Naamini wafadhri walimwamini kuwa angeshinda na hivyo kuwa na uhakika wa kulipa fadhira hizo.Puppet Musiba nae amejibu utumbo wake uko you tube.
Hoja iliyo mezani mpaka sasa ni uchaguzi upikua huru na haki?Naye Lissu, kibaraka wa mabeberu, anaweza kujibu jinsi atakavyomudu maisha yake na familia baada ya kushindwa vibaya katika Uchaguzi Mkuu. Naamini wafadhri walimwamini kuwa angeshinda na hivyo kuwa na uhakika wa kulipa fadhira hizo.
Kama yaliyomkuta Lema kukopa kwenye mabenki akiamini angeshinfa uchaguzi hivyo kumudu kulipa hayo madeni, badala yake akatoroka, vivyo hivyo muda ndio utakatoa jibu, Lissu atatorekea wapi.
Labda Sky Eclat una jibu?
Maji magumu sana haya huwa hayanaga majibu.!Tuwaulize nyinyi wenye mamlaka na wala haguswi na polisi.