Hilo swali wanamuuliza nani?Mkuu watu wanaulizia Hela ya walipa kodi wao (euro million 27) !!, unawaitaje wahuni ?
Hakuna uchaguzi huru na haki duniani kote.Hoja iliyo mezani mpaka sasa ni uchaguzi upikua huru na haki?
Umemjibu vizuri sana huyo kijana wa corridor za lumumba, wachovu wengi nimesikia hata hapa mmoja ananiambia eti aliona wanaongea watu wachache akitaja wanne tu huku akidai anafahamu kwamba bunge hilo lina wabunge wengi sana"WAHUNI WACHACHE?" Ama kweli siasa zimetufikisha pabaya,unadhani bunge la ulaya lina wabunge wahuni kama tulio nao ? kama hujui wale ni wawakilishi wa nchi zao kwenye bunge la ulaya na sidhani kama kuna nchi ya ulaya itapeleka mhuni kwenye hilo bunge,umezisikia hoja za wale wabunge? au umedandia uzi juu kwa juu ili uonekane na wewe umechangia. kwa taarifa tu kujibu ni kiherehere chetu wala hawajataka majibu toka kwetu,ni kuhusu utaratibu tu wa kibunge kwamba kila jambo linaanzia kwenye kamati na baadae kwenye bunge zima ndipo yanakotolewa maazimio.
Mliwaahidi mabeberu na dunia uchaguzi utakua huru na wa haki.Hakuna uchaguzi huru na haki duniani kote.
Kuna uchaguzi wa kidemokrasia.
Wao chaguzi zao zikoje?Mliwaahidi mabeberu na dunia uchaguzi utakua huru na wa haki.
Yuko Daily News!Hivi Moses ni Mafanyakazi wa serikali? nadhani anachokitafuta atakipata.
Mathew tulia jambo hilo linawekwa sawa na Prof Kabudi. Ondoa mhekeAkizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dkt. Abbas atoke hadharani kuelezea sakata la bunge la EU na Tanzania.
Moses anasema hakuna sababu ya kulinyamazia swala hili kwani linagusa maisha ya watanzania wote na kwamba taarifa ya balozi wetu Ubelgiji haitoshi na haiwafikii wananchi wote.
Kipindi kinaendelea....
Ni Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Na mlivyo wepesi mkaamini.Mliwaahidi mabeberu na dunia uchaguzi utakua huru na wa haki.
Acha kuongea kamasi mkuuHakuna haja ya kuwajibu wahuni wachache wa bunge hilo. sioni tatizo lolote hapo hadi kumfikia kumsumbua msemaji mkuu wa Serikali
Vibaraka wa mhutu mnakazi kweli mwaka huu , matunda ya kukurupuka kwa Jiwe , unatenda kwanza halafu kufikiri baadaye .Unsiba kura kwanza , unavuruga uchaguzi , unaua , unafunga , unabambika kesi baadaye ndio unasnza kufikiri , badala ya kufikiri kwanza ndio utende .Akizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dkt. Abbas atoke hadharani kuelezea sakata la bunge la EU na Tanzania.
Moses anasema hakuna sababu ya kulinyamazia swala hili kwani linagusa maisha ya watanzania wote na kwamba taarifa ya balozi wetu Ubelgiji haitoshi na haiwafikii wananchi wote.
Kipindi kinaendelea....
Ni Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Waliogombea walishiriki kwa uhuru na haki mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu.Hoja iliyo mezani mpaka sasa ni uchaguzi upikua huru na haki?
Sasa unataka Abbas aeleze nini au arudie waliyosema EU? watu wengine bwana...tushajivua nguo wenyewe na kujianika acha tuumbukeAkizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dkt. Abbas atoke hadharani kuelezea sakata la bunge la EU na Tanzania.
Moses anasema hakuna sababu ya kulinyamazia swala hili kwani linagusa maisha ya watanzania wote na kwamba taarifa ya balozi wetu Ubelgiji haitoshi na haiwafikii wananchi wote.
Kipindi kinaendelea....
Ni Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Hahahahahahahhaaha maheraaaaaa au jiweeeeeeKasema anataka umzalie mtoto mmoja na apewe jina la "Jizi la Kura"