Mwandishi Moses Methew amtaka Dkt. Abbas ajitokeze hadharani kulijibu bunge la EU, adai Balozi hatoshi

Umemjibu vizuri sana huyo kijana wa corridor za lumumba, wachovu wengi nimesikia hata hapa mmoja ananiambia eti aliona wanaongea watu wachache akitaja wanne tu huku akidai anafahamu kwamba bunge hilo lina wabunge wengi sana
Kuongea au kuchangia hoja haina maana hiyo hoja imepitishwa na inatakiwa kufanyiwa kazi. Kwa vile hili linaongewa bila wengine kuwa na taarifa kamili juu ya yaliongewa na ni maazimio gani yamefikiwa inatuwia vigumu wengine kuchangia kwa taarifa nusu nusu ziletwazo. Naomba tuelezwe nini kiliongelwa na ni maamuzi/maazimio gani yalipitishwa ili kuona uzito wa hili. Kama ni jambo liliongelewa tu na wabunge bila maazimio/maamuzi ya bunge zima, tunapoteza muda kuliongelea.
 
Huyo mwqndishi namfananisha na chizi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…