Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Mwandishi wa vitabu na makala maarufu Profesa Salman Rushdie amevamiwa na kuchomwa kisu akiwa kwenye mhadhara na anaedhaniwa kua ni muumini wa dini ya kiislamu huko New York.

Kwa Tusiofahamu Bwana Rudhdie ndie muandishi wa Kitabu cha Satanic Verses ambacho kinasema kua dini ya kiislamu na Quran imejaa mistari ya kishetani kwani kamba Quran iliandikwa na anaeitwa Mungu na kama ni Mungu basi ni kama amechanganyikiwa kabisa. Kwamba version ya Mungu wa kwenye Quran ni mungu aliechanganyikiwa.

Bwana Rushdie ana Fatwaa nyingi Duniani ikiwemo ya Kiongozi wa dini ya kiislamu nchini Iran Bw. Kohmein mwaka 1988 ya kutaka Rudhdie auwawe mahala popote atakapokua na kichwa Chake kipelekwe Iran. Hiii Fatwaa inamtaka muislamu yoyote mahala popote akimuoa Rudhie amuue.

 
Mungu mwenyewe aliyedhalilishwa amemruhusu aishi, sasa mbona watu baki wanajichukulia sheria mkononi!?
Ukiwambia kua hii dini ina mistari ya kishetani wanakataa, wanasema ni dini ya amani. Amani gani hapo?

Ametukanwa mungu wewe unaumia, kwani wewe umekua Mungu uumie kutukanwa? Si mungu mwenyewe ashughulike na aliemtukana ama hawezi ndio maana inabidi binadamu wamsadie?

Dini nyingine bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…