naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Nakumbuka Iran ilikumbwa na tetemeko kubwa Sana la ardhi walipata hasara namadhaya makubwa, Salman kutoka mafichoni akatoa mchango wa kutosha Iran wakapokea mchango wakamshukuru na kumwambia japo umetuchangia Fatwa.iko.palepale ,[emoji44][emoji44]Usiumie sana mkuu, huyu mwamba ali-trend sana those days kutokana na kitabu chake hata asingetaja kuna watu wangetaja kutokana na jinsi alivyokuwa "most wanted" kwenye nchi za mashariki ya kati
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app