Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Wasivyokuwa na akili wanazidi kuthibitisha alichokiandika huyo victim kwamba kipo,how kuuwa mtu kisa amekashifu dini sijui kitabu then unapata faida gani?

Hamna dini humo ni kikundi cha wahuni tu.
Ndio maana ukishakua muumini wa hiyo dini wanachofanya kwanza ni kuku-brain wash na kukupa ahadi za mbinguni na kukuondoa akili yako ya kawaida na kukujaza ujinga wa mabikra 72, sijui mito ya pombe, wanawake wazuri wenye makalio nk.

Mbaya zaidi unaweza kukuta mtu msomi kabisa ameenda shule na unafikiri anaweza ku-reason na ku-argue na kutumia logic ila anaenda kua brainwashed na wajinga ambao hawakwenda shule wamekariri kiarabu na mambo kama hayo. Ni mambo ya ajabu sana.
 
Dini ya visasi...
Mungu angekua mkali kama watu wale...hakuna mwanadamu angetoboa
Dini ya visas kivipi? Mama yako amekuzaa hajakuumba akitukanwa mbele yako utakaa kimya una angalia Mwamba? Ktk uislam Mungu ana thaman kuliko kitu chochote kile..Tuje kwa kipenzi chako mkeo akitukanwa utakaa tu ukiangalia? Just think of it Mungu ni zaidi ya vyote hivi... your health wealth its him who is in control ....don't let the breath deceive you.
 
Mama yangu namuona, wewe huyo allah umewahi kumuona hadi umpiganie? Alikutuma umpiganie? Amekwambia hana nguvu hadi wewe ukapigane kwa ajili yake?

Yaani hata reasoning ndogo kama hiyo waumini wa dini inawashinda? Sasa kama unasema allah amekuumba maana yake ana nguvu na uwezo mkubwa wa kufanya kila anachotaka kwa binadamu, sasa kama ametukanwa kwa nini yeye mwenyewe asishughulike na aliemtukana, ama uwezo hana ana hajui kama ametukanwa? Wewe unampigania kama nani yake, mke wake ama nani yake?
 
Mwandishi maarufu wa vitabu Salman Rushdie ameshambuliwa kwa kuchomwa shingoni hivi leo akiwa katika ukumbi mmoja huko New York, Marekani.

Ikumbukwe kuwa mwaka 1989 alitoa kitabu chake kimoja cha 'Satanic Verses' kilichowakera sana waumini wa dini ya Kiislamu hadi ikapelekea nchi ya Iran kukipiga marufuku. Pia mwandishi huyo alisomewa Fatwa na kiongozi wa Iran Ayatollah Khomeini iliyotaka maandishi huyo auawe.
So what?
 
Dini sio kama mama yako wewe shoga. Dini unaweza kuamua kuiacha ama kuifuata ila mama yako huwezi kumkataa kwamba sio mama yako. Hata ukimkataa bado haiondoi uhalisia kua sio mama yako.

Ukishakua mfuasi wa hii dini na akili unapoteza kabisa?
Sikia wewe Dini uwezi kuifananisha na mtu au kitu dini ndio muongozo halisi wa binadamu iashije uyo mama unayemsema na yeye anafuata iyo dini unaweza kumkana mama yako mzazi au baba lakini siyo dini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al

Wewe punga alichokifanya mwenzako huko New York ndio kupinga uchafu? Huyo ala wenu na nyie wafuasi wake wote zero brain, mnashikishwa ukuta.
Mkuu mbona umeshikilia sana hayo matusi?
To be honest mimi natukana sana watu lakini sio matusi hayo tena kwa mwanaume mwenzangu sababu kitendo cha kutamka tu hayo maneno yaliyolaaniwa ni kujishushia heshima yangu kama mwanaume.

Unafanya nikutilie mashaka, kwanini hayo matusi yamekaa mbele kabisa ya akili yako mkuu?
Niambie hiyo siri uliyoificha usiogope sitokudhuru. just be honest.
 
Waamuzi 6 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁷ Ndipo Gideoni akatwaa watu kumi miongoni mwa watumishi wake, akafanya kama Bwana alivyomwambia; lakini ikawa kwa sababu aliwaogopa watu wa nyumba ya baba yake, na watu wa mji, hakuweza kuyatenda hayo wakati wa mchana, basi aliyatenda usiku.
²⁸ Hata watu wa mji walipoondoka asubuhi na mapema, tazama, madhabahu ya Baali imebomolewa, na ile Ashera iliyokuwa karibu nayo imekatwa, na yule ng'ombe wa pili ametolewa sadaka juu ya ile madhabahu iliyojengwa.
²⁹ Wakaambiana, Ni nani aliyetenda jambo hili? Hata walipotafuta habari na kuuliza, wakasema, Gideoni, mwana wa Yoashi, ndiye aliyetenda jambo hili.
³⁰ Ndipo watu wa mji wakamwambia Yoashi Mlete mwanao, afe; kwa sababu ameibomoa madhabahu ya Baali na kwa sababu ameikata ile Ashera iliyokuwa karibu nayo.
³¹ Yoashi akawaambia watu wote waliokuwa wakishindana naye, Je! Mtamtetea Baali? Au mtamwokoa ninyi? Yeye atakayemtetea na auawe hivi asubuhi; kama yeye ni Mungu, na ajitetee nafsi yake, kwa sababu mtu mmoja ameibomoa madhabahu yake.

NAPENDA HAPA[emoji1370][emoji1370][emoji1370]

“............................kama yeye ni Mungu, na ajitetee nafsi yake, kwa sababu mtu mmoja ameibomoa madhabahu yake.”
— Waamuzi 6:31 (Biblia Takatifu))
 
Ndio maana ukishakua muumini wa hiyo dini wanachofanya kwanza ni kuku-brain wash na kukupa ahadi za kitaahira za mbinguni na kukuondoa akili yako ya kawaida na kukujaza ujinga wa mabikra 72, sijui mito ya pombe, wnaawake wazuri wenye makalio nk.

Mbaya zaidi unaweza kukuta mtu msoni kabisa amewnda shule na unafikiri anaweza ku-reason na ku-argue na kutumia logic ila anaenda kua brainwashed na wajinga ambao hawakwenda shule wamekariri kiarabu na mambo kama hayo. Ni mambo ya ajabu sana.
Kijana inaonekana dini ya kiislamu inakuhumiza kichwa sana nachokuomba ukitambue ni kuwa walishakuja watu kibao zaid yako walifanya kama unavyofanya wewe tena zaidi yako lakini leo hii hawapo na uislamu upo na utaendelea kuwepo mpaka pale atakapo mwenyewe aliyeuleta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama yangu namuona, wewe huyo allah umewahi kumuona hadi umpiganie? Alikutuma umpiganie? Amekwambia hana nguvu hadi wewe ukapigane kwa ajili yake?

Yaani hata reasoning ndogo kama hiyo waumini wa dini inawashinda? Sasa kama unasema allah amekuumba maana yake ana nguvu na uwezo mkubwa wa kufanya kila anachotaka kwa binadamu, sasa kama ametukanwa kwa nini yeye mwenyewe asishughulike na aliemtukana, ama uwezo hana ana hajui kama ametukanwa? Wewe unampigania kama nani yake, mke wake ama nani yake?
“.................... kama yeye ni Mungu, na ajitetee nafsi yake, kwa sababu mtu mmoja ameibomoa madhabahu yake.”
— Waamuzi 6:31 (Biblia Takatifu)
 
Al

Wewe punga alichokifanya mwenzako huko New York ndio kupinga uchafu? Huyo ala wenu na nyie wafuasi wake wote zero brain, mnashikishwa ukuta.
Nakukumbusha tu uyo unayemtukana ndiye anayekupa riziki wewe unachokula,kunywa yeye ndiye anayeamua nguvu ulizonazo za kutukana ni kwa rehema zake yeye siku atakapochukua izo rehema alizokupa ndio utajua gadhabu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama yangu namuona, wewe huyo allah umewahi kumuona hadi umpiganie? Alikutuma umpiganie? Amekwambia hana nguvu hadi wewe ukapigane kwa ajili yake?

Yaani hata reasoning ndogo kama hiyo waumini wa dini inawashinda? Sasa kama unasema allah amekuumba maana yake ana nguvu na uwezo mkubwa wa kufanya kila anachotaka kwa binadamu, sasa kama ametukanwa kwa nini yeye mwenyewe asishughulike na aliemtukana, ama uwezo hana ana hajui kama ametukanwa? Wewe unampigania kama nani yake, mke wake ama nani yake

Mama yangu namuona, wewe huyo allah umewahi kumuona hadi umpiganie? Alikutuma umpiganie? Amekwambia hana nguvu hadi wewe ukapigane kwa ajili yake?

Yaani hata reasoning ndogo kama hiyo waumini wa dini inawashinda? Sasa kama unasema allah amekuumba maana yake ana nguvu na uwezo mkubwa wa kufanya kila anachotaka kwa binadamu, sasa kama ametukanwa kwa nini yeye mwenyewe asishughulike na aliemtukana, ama uwezo hana ana hajui kama ametukanwa? Wewe unampigania kama nani yake, mke wake ama nani yake?
Ila akitukanwa kiongozi wako wa kisiasa Magufuli au Lipumba hapo utapambana mbona husemi waje wajigombanie na jeshi wanalo..tuache waislam tuamini na kumpenda Allah .huwezu kumkebehi tukakuwacha.
 
Kwa nini wasiache Mungu mwenyewe ndiye amuhukumu kwa nini wamuhukumu wao kama kweli aliyekosewa ni mwenyezi Mungu.

Kuna imani zingine zina matatizo sana. Huwezi kujichukulia sheria mkononi kumwadhibu mtu kwa kudai kwamba eti amekufuru. This is very stupid.
Utakua humjui Musa na taurati
 
Hiyo ndio maana ya heshima ni kitu cha bure.
Dini kwa wengi ni kitu personal sana ukiitukana ni kama umemtukana yeye, mama yake, mwanae au mkewe.

Mkuu mimi nikikutukania mama yako tusi zito utakubali nitembee kifua mbele kwamba mimi ni mbabe kisa tu Mungu ameniruhusu kuishi?

Fikiria hilo swali kwa makini.
Kitu personal ?!
 
Back
Top Bottom