Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
- Thread starter
- #61
Ndio maana ukishakua muumini wa hiyo dini wanachofanya kwanza ni kuku-brain wash na kukupa ahadi za mbinguni na kukuondoa akili yako ya kawaida na kukujaza ujinga wa mabikra 72, sijui mito ya pombe, wanawake wazuri wenye makalio nk.Wasivyokuwa na akili wanazidi kuthibitisha alichokiandika huyo victim kwamba kipo,how kuuwa mtu kisa amekashifu dini sijui kitabu then unapata faida gani?
Hamna dini humo ni kikundi cha wahuni tu.
Mbaya zaidi unaweza kukuta mtu msomi kabisa ameenda shule na unafikiri anaweza ku-reason na ku-argue na kutumia logic ila anaenda kua brainwashed na wajinga ambao hawakwenda shule wamekariri kiarabu na mambo kama hayo. Ni mambo ya ajabu sana.