Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Hayo matusi ulijifunzia wapi? Hivi huwezi kumwambia ukweli aliyekuudhi kwa lugha ya staha mpaka utumie matusi? Ni Mungu yupi atakayeridhia hayo matusi!! Ni dini gani inayoridhia matusi?
Ngoja kwanza.

Kwani nani kaanza kumtukana mwenzake hapa?
Kuna mtu amepigwa lakini baadae akalipiza kipigo kwa aliyempiga lakini badala ya kwenda kumshitaki wa kwanza kupiga unaenda kuhukumu aliyepigwa?

Kwa akili yako ya kawaida unaona hiyo kauli yako inamake any sense?
Kuhusu Mungu kuridhia au kutoridhia matusi hayo ilibidi ayajue alieanza kutukana, mimi ninichokifanya ni kuadapt.
Nikikwambia wewe ni Hypocrite utaweza kupinga?
 
Mimi nina uzoefu wa kusoma psychology ya binadamu kwa miaka kadhaa.

Trust me mkuu napenda sana ugomvi wa ngumi na matusi lakini napata ukakasi na mashaka hasa nikiona mtu tena mwanaume mwenzangu anatumia sana maneno machafu yanayohusiana na wale mafala alafu hapo hapo awe anapinga na kuchukia waislamu.

Sababu hayo maneno siwezi hata kuyafikiria achilia mbali kuyaandika au kuyatamka, imenibidi niandike hayo sababu wewe ndio umeanzisha.

tatizo nini mkuu? why hayo matusi yamekaa sana mbele ya akili yako?
Be honest.
Mkuu umefurahishwa na kifo cha huyo mwandishi?

Fatwaa ni diffencive mechanism ya dini yako kila inapokosolewa?



Tumia elimu yako vizuri
 
Hebu acha upumbavu mkuu.
Unajua maana ya "respect."

Dini ni kitu personal kama mzazi, au wewe utakubali nikutukanie mama yako?
Hii comment inaonesha either hauna akili au ni mjinga, au vyote kwa pamoja.
Respect wakati misikitini mnatukana imani nyingine?huu nao ni usheitwani.Au ndio miujiza yenu hiyo?huwezi kuta Kanisani eti wanaongelea uislam,uoga una ibilisi ndani yake.
 
Waamuzi 6 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
²⁷ Ndipo Gideoni akatwaa watu kumi miongoni mwa watumishi wake, akafanya kama Bwana alivyomwambia; lakini ikawa kwa sababu aliwaogopa watu wa nyumba ya baba yake, na watu wa mji, hakuweza kuyatenda hayo wakati wa mchana, basi aliyatenda usiku.
²⁸ Hata watu wa mji walipoondoka asubuhi na mapema, tazama, madhabahu ya Baali imebomolewa, na ile Ashera iliyokuwa karibu nayo imekatwa, na yule ng'ombe wa pili ametolewa sadaka juu ya ile madhabahu iliyojengwa.
²⁹ Wakaambiana, Ni nani aliyetenda jambo hili? Hata walipotafuta habari na kuuliza, wakasema, Gideoni, mwana wa Yoashi, ndiye aliyetenda jambo hili.
³⁰ Ndipo watu wa mji wakamwambia Yoashi Mlete mwanao, afe; kwa sababu ameibomoa madhabahu ya Baali na kwa sababu ameikata ile Ashera iliyokuwa karibu nayo.
³¹ Yoashi akawaambia watu wote waliokuwa wakishindana naye, Je! Mtamtetea Baali? Au mtamwokoa ninyi? Yeye atakayemtetea na auawe hivi asubuhi; kama yeye ni Mungu, na ajitetee nafsi yake, kwa sababu mtu mmoja ameibomoa madhabahu yake.

NAPENDA HAPA[emoji1370][emoji1370][emoji1370]

“............................kama yeye ni Mungu, na ajitetee nafsi yake, kwa sababu mtu mmoja ameibomoa madhabahu yake.”
— Waamuzi 6:31 (Biblia Takatifu))
Kwa nini mnahubiri dini,huyo mungu ni bubu,au ana sauti ndogo!?..si ahubiri mwenyewe huko aliko huku tusikie!!
 
Kwa nini wasiache Mungu mwenyewe ndiye amuhukumu kwa nini wamuhukumu wao kama kweli aliyekosewa ni mwenyezi Mungu.

Kuna imani zingine zina matatizo sana. Huwezi kujichukulia sheria mkononi kumwadhibu mtu kwa kudai kwamba eti amekufuru. This is very stupid.
Mungu ambaye hayupo? Aliyetungwa kichwani mwa Muhammad?
 
Ila akitukanwa kiongozi wako wa kisiasa Magufuli au Lipumba hapo utapambana mbona husemi waje wajigombanie na jeshi wanalo..tuache waislam tuamini na kumpenda Allah .huwezu kumkebehi tukakuwacha.
Hawa nawaona, inawezekana hawana nguvu za kujipambania ana kujipigania, sasa wewe allah uwewahi kumuona ama amewahi kukutuma umpiganie?
 
Mkuu umefurahishwa na kifo cha huyo mwandishi?

Fatwaa ni diffencive mechanism ya dini yako kila inapokosolewa?



Tumia elimu yako vizuri
Sijafurahishwa isipokuwa sijali sababu it doesn't matter to me, unapofanya makosa basi tegemea consequences.
Nisichofurahishwa ni yeye kukashifu imani za watu.
 
Nakukumbusha tu uyo unayemtukana ndiye anayekupa riziki wewe unachokula,kunywa yeye ndiye anayeamua nguvu ulizonazo za kutukana ni kwa rehema zake yeye siku atakapochukua izo rehema alizokupa ndio utajua gadhabu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Riziki anakupatia wewe sio mimi. Mimi najipatia riziki yangu kwa kufanya kazi na kutumia nguvu zangu.

Ulikutana nae akakwambia ananipatia mimi riziki?
 
Kwa nini wasiache Mungu mwenyewe ndiye amuhukumu kwa nini wamuhukumu wao kama kweli aliyekosewa ni mwenyezi Mungu.

Kuna imani zingine zina matatizo sana. Huwezi kujichukulia sheria mkononi kumwadhibu mtu kwa kudai kwamba eti amekufuru. This is very stupid.
Umesahau kuwakumbusha watu kuheshimu imani za watu wengine. Kama mtu akitukaniwa mama yake anapandwa hasira aweze kuua bila kumsubiri mama yake aliyetukanwa kaamua nn iwaje akitukaniwa mungu wake asipatwe hasira?
 
Ila akitukanwa kiongozi wako wa kisiasa Magufuli au Lipumba hapo utapambana mbona husemi waje wajigombanie na jeshi wanalo..tuache waislam tuamini na kumpenda Allah .huwezu kumkebehi tukakuwacha.
[emoji23]allah bhana!
 
Umesahau kuwakumbusha watu kuheshimu imani za watu wengine. Kama mtu akitukaniwa mama yake anapandwa hasira aweze kuua iwaje akitukaniwa mungu wake asipatwe hasira?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mama na mungu. Mama namuona, I feel her pain, naona hisia zake naona akiumia pale anapotendewa mabaya na mtu mwingine.

Sasa allah umewahi kumuona ama amewahi kukuomba ukampiganie kwamba watu wanamtukana? Amewahi kukwambia kua akitukanwa anaumia? Sasa unampiganiaje?
 
Back
Top Bottom