Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Respect wakati misikitini mnatukana imani nyingine?huu nao ni usheitwani.Au ndio miujiza yenu hiyo?huwezi kuta Kanisani eti wanaongelea uislam,uoga una ibilisi ndani yake.
Well, hilo siwezi kulijua sababu sijawahi kwenda msikitini, sasa mimi nahusika vipi hapo?
Sasa badala ya kutukana wote unaonaje ukatukana hao ambao wanakutukana huko msikitini specifically?

Good Idea, right?
Sasa fanya hivyo.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mama na mungu. Mama namuona, I feel her pain, naona hisia zake naona akiumia pale anapotendewa mabaya na mtu mwingine.

Sasa allah umewahi kumuona ama amewahi kukuomba ukampiganie kwamba watu wanamtukana? Amewahi kukwambia kua akitukanwa anaumia? Sasa unampiganiaje?
Kwann unadhani sababu wewe humuoni allah na mwingine hamuoni? Mtu ambaye hajawahi kumuona mama yake (wale waliozaliwa na mama kufariki)akitukaniwa mama yake anapata uchungu? Kama ndio ni kwann ilihali haoni hisia za huyo mama yake kama ulivyosema?
 
This world go tire me.. Someone published a book 34 years ago. You say the book insulted your god & you passed a death sentence on him. Your god could not avenge the insult for all these 34years & you still carry the 34years old bitterness reach 2022 to the extent of committing murder. Religion is scum.
 
Unajua maana ya personalization? na kuheshimu vya wengine?
Dini ni kama mama mzazi ni kitu very personal, au wewe unaweza kukubali nikutukanie mama yako mzazi hapa?
Utakaa chini na kusema utapata faida gani? je wewe hauna connection na emotions juu ya mama yako?

Wewe unaweza usiwe na connection kubwa na dini yako, lakini huyo ni wewe means heshimu vya watu.
Au mmekuzwa kutukana na kutoheshimu vya watu.
Dizaini ya watu kama hao wasioheshimu vya watu ni watoto waliopatikana guest houses au vichakani.
Watu waliopatikana kwa ndoa halali iwe ya Kimila au ya Kidini hawawezi ku behave namna hiyo.
 
Mimi sio mtu wa dini sana lakini ukiitukana dini yangu lazima nipanic.
Au wewe utakubali nikutukanie dini yako na mungu wako mkuu.
Mm nafikiri hoja siyo kutukana.mm nilisona na kusikia maelezo yeke kifupii hajatukana ila akitoa majibu ya utafiti wak
e ndo akaja na cjñclusion ya hivyo.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hebu chukua hiyo glass ya maji hapo pembeni kaa chini na unisikilize vizuri.

Katika maisha yangu yote sijawahi kumuita mtu yoyote kafir sababu ni kukosa heshima na najua maumivu ya kumuumiza, kumkwaza, kumkosea na kumtukana mwengine na najua madhara yake psychologically.

Na ndio maana napanic zaidi nikiona mtu anaumiza, anakwaza, kukashifu na kutukana wengine wote na mimi nikiwemo sababu mimi siwezi kuthubutu kufanya kitu kama hicho? Sasa kwanini wewe ufanye kitu kama hicho?

Ninachokifanya ni kufight back kwa watu ambao wananikwaza specifically na sio kundi la watu wote.
Naheshimu watu wanaojiheshimu na dini zao.
Siwezi nikatoka huko bila sababu kuanza kutukana watu na dini zao bila sababu kisa tu mtu mmoja alinikwaza, huo ni ujinga at best. na kwanini nifanye hivyo?
Njia iliyo bora ya kupambana na mpumbavu ni kumpa ushindi na sio kurudisha tusi kwa tusi wote mtaonekana ni wapumbavu.
 
Back
Top Bottom