Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Anaehitaji soft copy ya the satanic verses link hii hapa.

Mimi nina uzoefu wa kusoma psychology ya binadamu kwa miaka kadhaa.

Trust me mkuu napenda sana ugomvi wa ngumi na matusi lakini napata ukakasi na mashaka hasa nikiona mtu tena mwanaume mwenzangu anatumia sana maneno machafu yanayohusiana na wale mafala alafu hapo hapo awe anapinga na kuchukia waislamu.

Sababu hayo maneno siwezi hata kuyafikiria achilia mbali kuyaandika au kuyatamka, imenibidi niandike hayo sababu wewe ndio umeanzisha.

tatizo nini mkuu? why hayo matusi yamekaa sana mbele ya akili yako?
Be honest.
tumia hizo nguv kukemea ugaid chini ya kivuli cha uislam
 
Umesahau kuwakumbusha watu kuheshimu imani za watu wengine. Kama mtu akitukaniwa mama yake anapandwa hasira aweze kuua bila kumsubiri mama yake aliyetukanwa kaamua nn iwaje akitukaniwa mungu wake asipatwe hasira?
mungu kaumba kila kitu na uwezo kufanya lolote ila mama kanizaa mm tu hana uwezo wwte bila msaada wang , sijui km na mungu pia ni sw na mama
 
Kwann unadhani sababu wewe humuoni allah na mwingine hamuoni? Mtu ambaye hajawahi kumuona mama yake (wale waliozaliwa na mama kufariki)akitukaniwa mama yake anapata uchungu? Kama ndio ni kwann ilihali haoni hisia za huyo mama yake kama ulivyosema?
utammis mama km ukikua ktk mazingira magumu
 
mungu kaumba kila kitu na uwezo kufanya lolote ila mama kanizaa mm tu hana uwezo wwte bila msaada wang , sijui km na mungu pia ni sw na mama
Baba yako alipokuwa na uwezo bila msaada wako akitukanwa napo ungetulia tu?
 
Mkuu hebu chukua hiyo glass ya maji hapo pembeni kaa chini na unisikilize vizuri.

Katika maisha yangu yote sijawahi kumuita mtu yoyote kafir sababu ni kukosa heshima na najua maumivu ya kumuumiza, kumkwaza, kumkosea na kumtukana mwengine na najua madhara yake psychologically.

Na ndio maana napanic zaidi nikiona mtu anaumiza, anakwaza, kukashifu na kutukana wengine wote na mimi nikiwemo sababu mimi siwezi kuthubutu kufanya kitu kama hicho? Sasa kwanini wewe ufanye kitu kama hicho?

Ninachokifanya ni kufight back kwa watu ambao wananikwaza specifically na sio kundi la watu wote.
Naheshimu watu wanaojiheshimu na dini zao.
Siwezi nikatoka huko bila sababu kuanza kutukana watu na dini zao bila sababu kisa tu mtu mmoja alinikwaza, huo ni ujinga at best. na kwanini nifanye hivyo?
Pointles ,nyiny mnaingoza kwa kuzikejel dini za wengine , km hz dini nyngne zingekuwa waruwaru km nying bas Tz ingekuwa Syria tyr
 
Mama yangu namuona, wewe huyo allah umewahi kumuona hadi umpiganie? Alikutuma umpiganie? Amekwambia hana nguvu hadi wewe ukapigane kwa ajili yake?

Yaani hata reasoning ndogo kama hiyo waumini wa dini inawashinda? Sasa kama unasema allah amekuumba maana yake ana nguvu na uwezo mkubwa wa kufanya kila anachotaka kwa binadamu, sasa kama ametukanwa kwa nini yeye mwenyewe asishughulike na aliemtukana, ama uwezo hana ana hajui kama ametukanwa? Wewe unampigania kama nani yake, mke wake ama nani yake?
Siko hapa kuponda imani za watu ila wavaa kubadhi hakuna mbingu wanaenda wala peponi hakika yao ni motoni 🔥🔥🔥, huwezi kuta jitu zima linaenda kufanya ushenzi kwa kuua watu kwamba litapewa mabikra 72 nyie jamaa muwe hata mnafikiria basi, hiyo pepo ya uzinzi labda iko Palestina make ndo hua panawauma sana,, mkuu hilo achana nalo tu, haya majamaa sijui akili zao hua wanaweka kwenye mikanzu yao wanakalia au vipi.
 
Waumini wa Dini ya kiislamu tunakumbushwa ktk Qur'an kuwa tusitukane Dini nyingine ili nao wasije tukana Dini yetu.....kwani ukiwatukana wao na wao wakamtukana Mola wako ujue ndugu muislamu wewe ndio utabeba hiyo dhima.

Huwa Kitabu chetu kinatuambia kuwa unapoona mijadala ya kipuuzi basi jitenge nayo uwe mbali nayo.....mpaka itakapo Isha ndo urejee hapo....kuendelea kuwa sehemu ya hiyo mijadala nawe unakuwa mpuuzi na utabeba dhima hiyo.

Mijadala yenye kujenga haikatazwi lkn mijadala mingi inayohusu mambo ya Dini huwa ni kutukanana Tu na kuleta chuki baina yetu...hivyo ni busara Sana kujitenga nayo....baadhi yetu huenda tuna ghadhabu na hasira za ghafla na hivyo kupelekea kurushiana maneno machafu kama baadhi ya komenti ambazo tumeziona......mm binafsi mtu aweza nitukana na Dini yangu pia lkn Nina uwezo wa kutuliza hisia zangu na nikajadiliana nae pasina kumtukana lkn huwa sipendi kwakuwa najua mwisho wake sio mzuri....kuna watu ambao ni wapuuzi by nature hata ukimpa hoja thabiti lkn bado atakuja na mambo yake anayoyaamini yeye mwenyewe.

Namalizia na Maneno ya Mtume Muhammad (rehma na Amani ziwe juu yake) alisema "Mwenye nguvu si Yule anayepigana Bali ni Yule anaye zuia hasira zake pale anapokasirika"

Na Kwa wasio waislamu....dini ya kiislamu inaelekeza au kulinda vitu vitukufu au mambo matukufu yasichafuliwe...na ndio maana waislamu popote duniani wapo tayar kulinda Kitabu Chao,kumlinda Mtume wao na kulinda heshima ya Mola wao....ndio maana huyo bwege alikuwa auwawe Tu hata kama atapona basi bado watadili nae Tu! Ukiyakoroga itabidi uyanywe Tu.

Na ndio maana hata ukiangalia sinema za historia ya kiislamu huwezi kukuta kuna mtu ame act kama Mtume......hakuna Jambo kama Hilo .....tofauti na wenzetu wakristo mtu ame act kama Yesu mfano Yule muigizaji maarufu WA sinema ya Yesu, watu wakawa wanamuita Yesu na wengine mmebandika picha zake majumbani kwenu kana kwamba ndio Yesu Mwenyewe....Uislamu uliliona Hilo na kuamua kutoruhusu mambo kama hayo kabisa.

Sitakuwa tena sehemu ya huu mjadala kwakuwa najua kuna wapuuzi ambao wataendelea kuleta upuuzi wao!
 
Dini ya visas kivipi? Mama yako amekuzaa hajakuumba akitukanwa mbele yako utakaa kimya una angalia Mwamba? Ktk uislam Mungu ana thaman kuliko kitu chochote kile..Tuje kwa kipenzi chako mkeo akitukanwa utakaa tu ukiangalia? Just think of it Mungu ni zaidi ya vyote hivi... your health wealth its him who is in control ....don't let the breath deceive you.
Kwa hiyo mama yako akitukanwa unapaswa kumuua aliyetukana?
 
Umesahau kuwakumbusha watu kuheshimu imani za watu wengine. Kama mtu akitukaniwa mama yake anapandwa hasira aweze kuua bila kumsubiri mama yake aliyetukanwa kaamua nn iwaje akitukaniwa mungu wake asipatwe hasira?
Ukitukaniwa mama unaapandwa na hasira ya kuua? Basi Kuna watu mna matatizo yasiyo ya kawaida. Kwa ulimwengu wa leo hii matusi yakutukaniwa mama yapo kila kona, si utaua mtaa mzima?
 
Waumini wa Dini ya kiislamu tunakumbushwa ktk Qur'an kuwa tusitukane Dini nyingine ili nao wasije tukana Dini yetu.....kwani ukiwatukana wao na wao wakamtukana Mola wako ujue ndugu muislamu wewe ndio utabeba hiyo dhima.

Huwa Kitabu chetu kinatuambia kuwa unapoona mijadala ya kipuuzi basi jitenge nayo uwe mbali nayo.....mpaka itakapo Isha ndo urejee hapo....kuendelea kuwa sehemu ya hiyo mijadala nawe unakuwa mpuuzi na utabeba dhima hiyo.

Mijadala yenye kujenga haikatazwi lkn mijadala mingi inayohusu mambo ya Dini huwa ni kutukanana Tu na kuleta chuki baina yetu...hivyo ni busara Sana kujitenga nayo....baadhi yetu huenda tuna ghadhabu na hasira za ghafla na hivyo kupelekea kurushiana maneno machafu kama baadhi ya komenti ambazo tumeziona......mm binafsi mtu aweza nitukana na Dini yangu pia lkn Nina uwezo wa kutuliza hisia zangu na nikajadiliana nae pasina kumtukana lkn huwa sipendi kwakuwa najua mwisho wake sio mzuri....kuna watu ambao ni wapuuzi by nature hata ukimpa hoja thabiti lkn bado atakuja na mambo yake anayoyaamini yeye mwenyewe.

Namalizia na Maneno ya Mtume Muhammad (rehma na Amani ziwe juu yake) alisema "Mwenye nguvu si Yule anayepigana Bali ni Yule anaye zuia hasira zake pale anapokasirika"

Na Kwa wasio waislamu....dini ya kiislamu inaelekeza au kulinda vitu vitukufu au mambo matukufu yasichafuliwe...na ndio maana waislamu popote duniani wapo tayar kulinda Kitabu Chao,kumlinda Mtume wao na kulinda heshima ya Mola wao....ndio maana huyo bwege alikuwa auwawe Tu hata kama atapona basi bado watadili nae Tu! Ukiyakoroga itabidi uyanywe Tu.

Na ndio maana hata ukiangalia sinema za historia ya kiislamu huwezi kukuta kuna mtu ame act kama Mtume......hakuna Jambo kama Hilo .....tofauti na wenzetu wakristo mtu ame act kama mkristo mfano Yule muigizaji maarufu WA sinema ya Yesu, watu wakawa wanamuita Yesu na wengine mmebandika picha zake majumbani kwenu kana kwamba ndio Yesu Mwenyewe....Uislamu uliliona Hilo na kuamua kutoruhusu mambo kama hayo kabisa.

Sitakuwa tena sehemu ya huu mjadala kwakuwa najua kuna wapuuzi ambao wataendelea kuleta upuuzi wao!
Amin inshallah ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siko hapa kuponda imani za watu ila wavaa kubadhi hakuna mbingu wanaenda wala peponi hakika yao ni motoni 🔥🔥🔥, huwezi kuta jitu zima linaenda kufanya ushenzi kwa kuua watu kwamba litapewa mabikra 72 nyie jamaa muwe hata mnafikiria basi, hiyo pepo ya uzinzi labda iko Palestina make ndo hua panawauma sana,, mkuu hilo achana nalo tu, haya majamaa sijui akili zao hua wanaweka kwenye mikanzu yao wanakalia au vipi.
Enyi wagalatia msio na akili ni nani............
Sio maneno yangu ni ya masia wenu,
 
Back
Top Bottom