Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Petro hakutumwa na YESU akate sikio la binadamu mwingine anayetaka kumdhuru YESU, ni hisia zake zilimtuma akiamini anampigania.Ni kati ya dini za mwilini hiyo na ndiyo maana mungu wao anapambaniwa na wanadamu ila Mungu kamwe hapambaniwi na watu maana yeye ni juu ya vyote baada yake hakuna mwingine.
Lazima tutofautishe kumpambania mungu na hisia. Ni simple tu, sisi wakristo tuheshimu hisia za binadamu wa imani tofauti sababu tusipoziheshimu hisia zao zinaweza zikawapelekea kufanya maamuzi mabaya. Kuna watu kihisia wanaamini wako karibu sana na mungu wanae muabudu.