Waumini wa Dini ya kiislamu tunakumbushwa ktk Qur'an kuwa tusitukane Dini nyingine ili nao wasije tukana Dini yetu.....kwani ukiwatukana wao na wao wakamtukana Mola wako ujue ndugu muislamu wewe ndio utabeba hiyo dhima.
Huwa Kitabu chetu kinatuambia kuwa unapoona mijadala ya kipuuzi basi jitenge nayo uwe mbali nayo.....mpaka itakapo Isha ndo urejee hapo....kuendelea kuwa sehemu ya hiyo mijadala nawe unakuwa mpuuzi na utabeba dhima hiyo.
Mijadala yenye kujenga haikatazwi lkn mijadala mingi inayohusu mambo ya Dini huwa ni kutukanana Tu na kuleta chuki baina yetu...hivyo ni busara Sana kujitenga nayo....baadhi yetu huenda tuna ghadhabu na hasira za ghafla na hivyo kupelekea kurushiana maneno machafu kama baadhi ya komenti ambazo tumeziona......mm binafsi mtu aweza nitukana na Dini yangu pia lkn Nina uwezo wa kutuliza hisia zangu na nikajadiliana nae pasina kumtukana lkn huwa sipendi kwakuwa najua mwisho wake sio mzuri....kuna watu ambao ni wapuuzi by nature hata ukimpa hoja thabiti lkn bado atakuja na mambo yake anayoyaamini yeye mwenyewe.
Namalizia na Maneno ya Mtume Muhammad (rehma na Amani ziwe juu yake) alisema "Mwenye nguvu si Yule anayepigana Bali ni Yule anaye zuia hasira zake pale anapokasirika"
Na Kwa wasio waislamu....dini ya kiislamu inaelekeza au kulinda vitu vitukufu au mambo matukufu yasichafuliwe...na ndio maana waislamu popote duniani wapo tayar kulinda Kitabu Chao,kumlinda Mtume wao na kulinda heshima ya Mola wao....ndio maana huyo bwege alikuwa auwawe Tu hata kama atapona basi bado watadili nae Tu! Ukiyakoroga itabidi uyanywe Tu.
Na ndio maana hata ukiangalia sinema za historia ya kiislamu huwezi kukuta kuna mtu ame act kama Mtume......hakuna Jambo kama Hilo .....tofauti na wenzetu wakristo mtu ame act kama mkristo mfano Yule muigizaji maarufu WA sinema ya Yesu, watu wakawa wanamuita Yesu na wengine mmebandika picha zake majumbani kwenu kana kwamba ndio Yesu Mwenyewe....Uislamu uliliona Hilo na kuamua kutoruhusu mambo kama hayo kabisa.
Sitakuwa tena sehemu ya huu mjadala kwakuwa najua kuna wapuuzi ambao wataendelea kuleta upuuzi wao!