adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Kuna waislamu wangapi na wanafanya hivyo wangapi ?Chief iko hivi ,wakristo hawatumii violence ili kutetea imani au kumtetea Mungu wao kwa sababu mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Mungu mwenyewe.
Mtu hata akikashifu imani yao,tukana Mungu wao,aponde kitabu chao nk. Uvumilivu ,upendo na amani ndiyo nguzo yao kuu.
Tukija kwa waislam ni tofauti kwa sababu mnahubiri amani wakati mkono mmoja upo nyuma umeshika jiwe. Hii ni karne ya 21 na hamuwezi kuishi kama enzi za mtume.
Violence sio jibu la kuipigania dini au Mungu, kwenye tukio la Jana Rushdie hajafa na pia amepata publicity ya nguvu ya kitabu chake cha miaka zaidi ya 30 iliyopita.
Watu wasio kijua watataka wakisome,kuna watu walikua wapo kwenye process ya kuhamia uislam waghairi.
Mwisho wa siku uislam sio dini ya amani kwa sababu inataka mtu kama akihama dini auawe
Hata wauaji wapo kwa upande wa kikirsto na kama hilinkundi la kugaidi linatumia hadi nembo ya msalaba