adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Nithibitishie ufufuo ?Nimeona vingi unaandika na sielewi ulivyovisoma Kama vipo sawa... HV hujawahi kuwaona Wakristo wanaopotosha kupitia Biblia Hy hy na wao wakisema wanaongoza watu na wanakanisa .
Tatizo sio maarifa ila maarifa sahihi.
Kukaushwa kwa bahari kwa fimbo ya Musa?
Nb: Vitu vyote vipo kwenye bible nataka uthibitishe ukweli wa hizo hadithi .