Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mi nauliza, Rushdie amakashifuje Dini ?
Kama kasema kuna aya za shetani kwanini apingwe kwa vitisho badala yake ajibiwe kwa uthibitisho kuwa hizo aya sio za shetani.

Kumwua Rushdie kunaonesha kasema ukweli ambao umewauma waislamu.

Wakristo kuna vitabu kibao vinakashifu Ukristo. Zipo hadi injiri feki za akina Barnaba mbona waandishi wake hawatishwi kuuwawa ?

Ukweli ni kwamba Rushdie kasema ukweli na haiwezekani kumjibu bali kumwua tu.

Hata mkimwua bado kitabu chake kipo na kitaendelea kuwepo.

Jibuni hoja za Rushdie kama kasema uwongo tujue na sio kukimbilia kumwua.
Mtauwa sana kwa hizo jazba zenu
 
Kwenye bible zipo violent verses nyingi tena nyingine za upanga kabisa.View attachment 2322764
View attachment 2322765
Baada ya kristo kuja..alieneza amani upendo kwa wote..ndiomana alisema wapendeni wanao wachukia na umpende jirani yako kama unavyojipenda wewe.

Huu ndio msingi wa dini ya kikristo ambapo naamini kwa waislamu msingi wao ni kuwapenda waislamu wenzao na kuwatenga na kuwachukia ambao sio waislamu ndio mana chokochoko na kupigana huwezi kuyakuta katika jamii za kikristo hatakama sio wa dhehebu moja.

Ila wakiwepo jamii ya waislamu hata kama ni tofauti dhehebu utaona vile wakitengana..chuki na kuuana mfano tosha ni shia na suni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ana fatwa huyu na ni wajibu wa kila muislamu kumuua po pote akipatikana. Dini kwenye huu mjadala haikwepeki mkuu. Labda kama ungesema watu wajadili kwa amani na heshima bila kutukaniana dini zao...
View attachment 2322112

Watu makini na wastaarabu hujibu hoja kwa hoja. Kama maudhui ya kitabu chake Salman Rushdie - Satanic Verses, yanapingana na imani ya dini, ni wajibu wa wasomi na waumini kuyapinga kwa kueleza ukweli na siyo kumwekea fatwa. Kama ulivyosema watu wajadili kwa amani na heshima
 
Ayajibu au mtu yeyote ajibu, mbona unacomment kitoto sana ? nilitegemea kujibu kwanza uonyeshe utoto uliopo kwenye hayo maswali.
Hivi mnavoswali huwa mna lengo gani.
Upendeleo ni upi Mana wale manabii unaowaskia cheo chao kikubwa Ni watumishi wapo kutumikia watu ... Sasa tuoneshe upendeleo .
Swali la Kwanza Ni Moja ya swali la kipuuzi kuliona . Mana Hy mtoto wa la nne aliesoma Biblia anajibu kwann ilikuwa vile.
Then Mungu na muabudu anajibu Kama ulivyoona kwenye Hy unayoita miujiza.
 
Nyiny mnatatizo sn ,ingia kweny misikit utasikia mawaidha ya kukashif ukristu , madrasa watoto wanafundishwa chuki dhid ya ukristu ( nmesoma madrassa na mafundishp ya rc pia kwa walokole ila waislam nliona mafundisho ya uchochez mengi ) , mnafikia hatua had kweny daladala mnaweka mawaidha ya uchafudhi wa dini za wengine mf temeke _ toangoma , buza _ magenge nimewahi sikia mawaidha yanasema ukristu ni ushetan ila wakristu walitulia kimya wakamwelekeza dereva kwa utulivu bila kushika kisu au panga
Aliyekuambia mm muislamu nani? Nakubaliana na wewe kuhusu hiyo kitu ya mafundisho ya chuki dhidi ya Ukristo si sahihi. Serikali inatakiwa kuweka jitihada za kuchukua hatua pale inapovuka mipaka.
 
Kwenye bible zipo violent verses nyingi tena nyingine za upanga kabisa.View attachment 2322764
View attachment 2322765
Chief iko hivi ,wakristo hawatumii violence ili kutetea imani au kumtetea Mungu wao kwa sababu mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Mungu mwenyewe.

Mtu hata akikashifu imani yao,tukana Mungu wao,aponde kitabu chao nk. Uvumilivu ,upendo na amani ndiyo nguzo yao kuu.

Tukija kwa waislam ni tofauti kwa sababu mnahubiri amani wakati mkono mmoja upo nyuma umeshika jiwe. Hii ni karne ya 21 na hamuwezi kuishi kama enzi za mtume.

Violence sio jibu la kuipigania dini au Mungu, kwenye tukio la Jana Rushdie hajafa na pia amepata publicity ya nguvu ya kitabu chake cha miaka zaidi ya 30 iliyopita.

Watu wasio kijua watataka wakisome,kuna watu walikua wapo kwenye process ya kuhamia uislam waghairi.

Mwisho wa siku uislam sio dini ya amani kwa sababu inataka mtu kama akihama dini auawe
 
Mi nailiza, Rushdie amakashifuje Dini ?
Kama kasema kuna aya za shetani kwanini apingwe kwa vitisho badala yake ajibiwe kwa uthibitisho kuwa hizo aya sio za shetani.

Kumwua Rushdie kunaonesha kasema ukweli ambao umewauma waislamu.

Wakristo kuna vitabu kibao vinakashifu Ukristo. Zipo hadi injire feki za akina Barnaba mbona waandishi wake hawatishwi kuuwawa ?

Ukweli ni kwamba Rushdie kasema ukweli na haiwezekani kumjibu bali kumwua tu.

Hata mkimwua bado kitabu chake kipo na kitaendelea kuwepo.

Jibuni hoja za Rushdie kama kasema uwongo tujue na sio kukimbilia kumwua.
Mtauwa sana kwa hizo jazba zenu
Tangu lini wakawa nanuwezo wa kujibu hoja..kama waumini wenyewe tu hawaruhusiwe kuhoji mafundisho yao ndio wataweza kujibu hoja za wengine.

Dini inavyofunga midomo watu waiihoji wala kuichambua ni dini dhaifu sana...na ina mapungufu mengi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukiwambia kua hii dini ina mistari ya kishetani wanakataa, wanasema ni dini ya amani. Amani gani hapo?

Ametukanwa mungu wewe unaumia, kwani wewe umekua Mungu uumie kutukanwa? Si mungu mwenyewe ashughulike na aliemtukana ama hawezi ndio maana inabidi binadamu wamsadie?

Dini nyingine bwana.
Umesahau juzi tu hapa mlikua mnalalamikia Tundaman kuingia na msalaba uwanjani mbona yesu yupo nyie mlalamika acheni watu wacheezee misalaba mwenye misalaba yake aje aitete hayo ni maagizo ya Mungu mwenyewe ukikufuru wakuue hakuna mjadala
 
Mi nauliza, Rushdie amakashifuje Dini ?
Kama kasema kuna aya za shetani kwanini apingwe kwa vitisho badala yake ajibiwe kwa uthibitisho kuwa hizo aya sio za shetani.

Kumwua Rushdie kunaonesha kasema ukweli ambao umewauma waislamu.

Wakristo kuna vitabu kibao vinakashifu Ukristo. Zipo hadi injiri feki za akina Barnaba mbona waandishi wake hawatishwi kuuwawa ?

Ukweli ni kwamba Rushdie kasema ukweli na haiwezekani kumjibu bali kumwua tu.

Hata mkimwua bado kitabu chake kipo na kitaendelea kuwepo.

Jibuni hoja za Rushdie kama kasema uwongo tujue na sio kukimbilia kumwua.
Mtauwa sana kwa hizo jazba zenu
Cha msingi huyo mungu aliyekashifiwa na Salman ingebidi ajitetee sasa kujitetea ikawa ngumu mpaka Ayatollah akatangaza dau kwa atakayemuua Salman!!!
 
Huu uzi utaleta mlipuko JF. .....Kifupi Mungu hapendi ujinga...kuanzia sodomA na gomora alishusha moto saaafi kabisa...gharika la nuhu...goliati alipomtukana Mungu daudi hakumuacha salama
 
Hivi mnavoswali huwa mna lengo gani.
Upendeleo ni upi Mana wale manabii unaowaskia cheo chao kikubwa Ni watumishi wapo kutumikia watu ... Sasa tuoneshe upendeleo .
Swali la Kwanza Ni Moja ya swali la kipuuzi kuliona . Mana Hy mtoto wa la nne aliesoma Biblia anajibu kwann ilikuwa vile.
Then Mungu na muabudu anajibu Kama ulivyoona kwenye Hy unayoita miujiza.
Haujajibu swali hata mmoja..

Nithibitishie visa vya bible uhakika wake umetoa wapi kama sio imani tu ?

Kisanyansi visa hayo maajabu yote yanakataa na mtu kama Scars hawezi kukubali stori yeyote ya miujiza ya watu au Manabii katika bible vipi unawezaje kuthibitisha kama ni kweli ?
 
Mimi sio mtu wa dini sana lakini ukiitukana dini yangu lazima nipanic.
Au wewe utakubali nikutukanie dini yako na mungu wako mkuu.
Tusi gani la kidini au una maana kupinga maandishi yaliyomo kwenye Kitabu cha Imani ya Dini hiyo km Quran/Bible? Iwapo ni hivyo, wajibu wana imani ni kuweka mambo sawa ili waumini watarajiwa wawe na imani katika dini husika
 
Haujajibu swali hata mmoja..

Nithibitishie visa vya bible uhakika wake umetoa wapi kama sio imani tu ?

Kisanyansi visa hayo maajabu yote yanakataa na mtu kama Scars hawezi kukubali stori yeyote ya miujiza ya watu au Manabii katika bible vipi unawezaje kuthibitisha kama ni kweli ?
Umehamia kwenye sayansi ambayo inategemea tatiti zinazohitaji maboresho ( lack of character ) Kila leo😂😂.
Bible ilichoandika Leo na hate milele kitabaki kuwa vile vile..
Na imani ni wajibu ... Timiza wako Mungu atimize ahadi zake kwako .....kibaya Zaid Quantum physics hayo ma law of attraction ni Imani Hy hy
 
Tangu lini wakawa nanuwezo wa kujibu hoja..kama waumini wenyewe tu hawaruhusiwe kuhoji mafundisho yao ndio wataweza kujibu hoja za wengine.

Dini inavyofunga midomo watu waiihoji wala kuichambua ni dini dhaifu sana...na ina mapungufu mengi.

#MaendeleoHayanaChama
Kuna kitu gani kisicho hojiwa kwenye Ukristo.
Kama Wakristo hawahoji kwanini usihoji wewe ?

Ishu kwanini mnawaua wanao andika ukweli badala ya kujibu hoja zao ?

Kwanini dini yenu haina msamaha ?
Haujiulizi hata kidogo ?

Aliye andika Injiri ya Barnaba sio Mkristo na alikuwa na lengo la kukashifu injiri halisi na ameachwa tu.
Injiri yake haona mashiko
 
Kwa nini?
Kuepusha uprising ya fujo kumbuka wakati huo pia kulikuwa na Skendo ya Kuvunjwa mabucha ya Nguruwe pale Kigogo Sambusa iliyopelekea maafa na fujo mpaka askari kuingia na mabuti misikitini kukamata waandamanaji Maeneo kadhaa katika mji wa Dar es salaam. So Serikali iliona iwapo kutakutwa mtu na wenye Dini yao ana hiki kitabu machafuko makubwa yangetokea
 
Umehamia kwenye sayansi ambayo inategemea tatiti zinazohitaji maboresho ( lack of character ) Kila leo😂😂.
Bible ilichoandika Leo na hate milele kitabaki kuwa vile vile..
Na imani ni wajibu ... Timiza wako Mungu atimize ahadi zake kwako .....kibaya Zaid Quantum physics hayo ma law of attraction ni Imani Hy hy
Umeshindwa kujibu maswali ya kwanza .

Hizi vita wakati wanaIsreil wapapigana kwa nini Mungu asijitetea mwenyewe mpaka akaacha mpaka watu wauwawe na sanduku kuchukuliwa ?
Screenshot_20220813_103701.jpg
 
Umeshindwa kujibu maswali ya kwanza .

Hizi vita wakati wanaIsreil wapapigana kwa nini Mungu asijitetea mwenyewe mpaka akaacha mpaka watu wauwawe na sanduku kuchukuliwa ?View attachment 2322778
Read the whole story
Acha kuweka vipande vipande utachanganyikiwa

Jiulize kwann wao group kubwa walifeli ila Daudi alimaloza mchongo.
Faith means Holly or Integrated with God. Kuwa kitu kimoja na Mungu ni kumpa Mungu Moyo wako na sio kuweka hofu na kuiabdu.
Kitabu hicho hicho Cha samweli kinaeleza kuhusu kipi umeweka moyoni Mana ndico unachokiamini
 
Back
Top Bottom