Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

Amani wakati wao wenyewe hawaelewani? Shia na suni hawaelewani, alkaida halewani na alshababu, mujahideen hawalewani na Janjaweed, ISIS hawaelewani na Alkaida wakati wote wanamtetea allah mmoja. Hii dini ina vituko.
🤣🤣🤣🙌
 
Usiumie sana mkuu, huyu mwamba ali-trend sana those days kutokana na kitabu chake hata asingetaja kuna watu wangetaja kutokana na jinsi alivyokuwa "most wanted" kwenye nchi za mashariki ya kati
Hapa Tanzania Wakati huo Lyatonga Mrema alikuwa Naibu Waziri mkuu alikipiga Ban Hiki Kitabu ilikuwa ukikutwa nacho ni sawa sawa ya kukutwa na mihadharati.
 
Balaa kubwa hilo,
Katika vitu ambavyo mimi hueshimu sana ni Deen ya mtu, kwa sababu hii kitu mtu huanza kupandikizwa akiwa mtoto mdogo hivyo humkaa mwanadamu kisawasawa. Although I most likes Muslim women, for its good behave.
Which Muslim with good behaviour? Akina Wema Sepetu,au Muslim women gani bro?
 
Mungu mwenyewe aliyedhalilishwa amemruhusu aishi, sasa mbona watu baki wanajichukulia sheria mkononi!?
Hiyo ndio maana ya heshima ni kitu cha bure.
Dini kwa wengi ni kitu personal sana ukiitukana ni kama umemtukana yeye, mama yake, mwanae au mkewe.

Mkuu mimi nikikutukania mama yako tusi zito utakubali nitembee kifua mbele kwamba mimi ni mbabe kisa tu Mungu ameniruhusu kuishi?

Fikiria hilo swali kwa makini.
 
Kwa nini wasiache Mungu mwenyewe ndiye amuhukumu kwa nini wamuhukumu wao kama kweli aliyekosewa ni mwenyezi Mungu.

Kuna imani zingine zina matatizo sana. Huwezi kujichukulia sheria mkononi kumwadhibu mtu kwa kudai kwamba eti amekufuru. This is very stupid.
Not stupid, it's very personal.
Kwanini kila mtu asiheshimu imani ya mwenzake no matter ina mapungufu gani.

Who's fucking perfect, you?
 
Wasivyokuwa na akili wanazidi kuthibitisha alichokiandika huyo victim kwamba kipo,how kuuwa mtu kisa amekashifu dini sijui kitabu then unapata faida gani?

Hamna dini humo ni kikundi cha wahuni tu.
 
Ukiwambia kua hii dini ina mistari ya kishetani wanakataa, wanasema ni dini ya amani. Amani gani hapo?

Ametukanwa mungu wewe unaumia, kwani wewe umekua Mungu uumie kutukanwa? Si mungu mwenyewe ashughulike na aliemtukana ama hawezi ndio maana inabidi binadamu wamsadie?

Dini nyingine bwana.
Hebu acha upumbavu mkuu.
Unajua maana ya "respect."

Dini ni kitu personal kama mzazi, au wewe utakubali nikutukanie mama yako?
Hii comment inaonesha either hauna akili au ni mjinga, au vyote kwa pamoja.
 
Ukiwambia kua hii dini ina mistari ya kishetani wanakataa, wanasema ni dini ya amani. Amani gani hapo?

Ametukanwa mungu wewe unaumia, kwani wewe umekua Mungu uumie kutukanwa? Si mungu mwenyewe ashughulike na aliemtukana ama hawezi ndio maana inabidi binadamu wamsadie?

Dini nyingine bwana.
Tutakufanyia fatwa muda si mrefu endelea tu
 
Wasivyokuwa na akili wanazidi kuthibitisha alichokiandika huyo victim kwamba kipo,how kuuwa mtu kisa amekashifu dini sijui kitabu then unapata faida gani?

Hamna dini humo ni kikundi cha wahuni tu.
Unajua maana ya personalization? na kuheshimu vya wengine?
Dini ni kama mama mzazi ni kitu very personal, au wewe unaweza kukubali nikutukanie mama yako mzazi hapa?
Utakaa chini na kusema utapata faida gani? je wewe hauna connection na emotions juu ya mama yako?

Wewe unaweza usiwe na connection kubwa na dini yako, lakini huyo ni wewe means heshimu vya watu.
Au mmekuzwa kutukana na kutoheshimu vya watu.
 
Back
Top Bottom