Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

Kuna tools za kudhibitisha kama ni AI, wala si ngumu kama unavyodhani
Nilifanya kazi flani manually 100%, then nikafanya test, zikaniambia kazi imefanyika na AI 100 %.. Na kuna kazi ingine nimefanya kwa AI .. ika detect 92% nikacheza hadi 50% .. Tools bado zipo kwenye dev phase kuna mda zipo sahihi na kuna mda zinatoa boko.. ni vizuri kufanya mtu ane jua nini anafanya na sio kuziamini 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…