Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

Kosa ni kutumia picha ya raisi bila kuihariri na kuiongezea mivuto.

View attachment 3428222
Mzee pamoja na kula vizuri chakula kilichopangiliwa na wataalamu wa lishe na chakula wa Ikulu ya Mfalme...,

Pamoja na kuwa na pesa zote duniani.....

Pamoja na kuwa na kila anachohitaji ktk maisha haya lakini bado kifo cha uzee kinamwandama kwa kasi ya mwanga kiasi cha kuharibu hata wajihi na sura yake huyu mzee...!

Lakini cha ajabu huyu mzee, bado anataka madaraka ya u - Rais tena na tena kama Hayati Robert Mugabe wa Zimbambwe...

Na psychologically, ishu hapa wala sio u - Rais. Anasumbuliwa na hofu inayotokana na matendo mabaya ikiwemo kumwaga damu za watu aliodhani ni wapinzani wake bila hatia...

Karma is at work ikimshughulikia kwelikweli na kwa sbb ya kiburi cha madaraka sio ajabu hajawaza hata kutengeneza kwa toba ya kweli na muumba wake...

Viongozi walioingoza nchi na mataifa yao ktk misingi ya haki hawana hofu ya uzee unaoharibu mpaka sura zao. Huzeeka wakiwa na furaha na amani ktk nafsi na mioyo yao...
 
Huyo mzee akipiga tu hata ka moja ,ambulance lazima wamkimbize ER
 
Ndiyo hofu kuu waliyonayo Kwa kweli mkuu.
"Damu za watu"
 
Uzee ni baraka tuombe na sisi tujaaliwe tufike umri mrefu kama huyu Mzee.
 
Back
Top Bottom