Mwandishi wa Habari Gordon Kalulunga adaiwa kusakwa na Jeshi la Polisi, aishi mafichoni

Hiyo your take yako,unaishi wapi? Hayo mambo sasa hivi ndio yanashika kasi. Walishazoea kula nyama ya mtu.
 
Mie sielewi jeshi la police KWa Sasa wakosa KAZI za kufanya, ebu achen Mambo aya jeshi la police ,jikiten KWa Mambo ya msingi ya nchi , KWa mjibu wa taratibu zenu na maelekezo ,na mwongozo wa KAZI zenu, ethics
PGO???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mbeya DED ndio yule askari polisi hivi aliwekwa pale kumdhibiti sugu? Basi sawa naelewa sasa hawataki kukosolewa wanataka kuhomola tuuuu ukute huyo waziri Ummmy anamuogopa kumgusa....ingekuwa raia angetaka sifa na kumsimamisha......ina maana hajui ?
 
Haya Mambo yanaudhi na kusikitisha. Kisa cheo na kujipendeleza!?
 
Kwanza, tunakubaliana kimsingi kitisho dhidi ya waandishi wa Habari wanaofanya kazi kwa mujibu wa sheria, hakikubaliki kabisa. Pili, pia kuchukua siri za Serikali kinyume cha sheria pia haikubaliki....
Umeongea vizuri sana kiuzalendo na kwa weeledi. Cha kujiuliza je mamlaka huzingatia pia ukkasi hususani tuhuma mfano kuyabaini yanayoandikwa na huyu Kalulunga ili wanaopaswa kuwajibishwa wachunguzwe, na Takukuru utendaji wa juu ya uchunguzi ni chombo kuingia na kuchunguza ofisini zozote au hadi woambwe au waagizwe?

Kama takukuru utendaji wao nibwa kutumwa na kuamrishwa na hawana autonomous ya hata kutumia fununu tu kufuatilia ndio basi ama ishakuwa basi.

Ukiwa mwandishi wa habari hasa investigative journalism ni kuvaa dumu la petroli na kiberiti unacho mfukoni.
 
Nimecheka tu,pale aliposema nilipo waona polisi niliwapotezea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ova
 
Kama yaliachwa mbona anakimbia. Mama kasema yeye na magufuli ni kitu kimoja. Mnajifanya mama poa ngojeni awaonesheni ndio mtaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…