Mwandishi wa Habari Gordon Kalulunga adaiwa kusakwa na Jeshi la Polisi, aishi mafichoni

Mwandishi wa Habari Gordon Kalulunga adaiwa kusakwa na Jeshi la Polisi, aishi mafichoni

Kwanza hujaelewa hata mada yenyewe, nimeamini kweli akili ni nywele na Kipara ni mzigo
Sitaki kuelewa mada ila atoke tu huko kama anatafutwa na polisi nae si muhalifu atoke tu kabla msitu haujatiwa moto!
 
Hahah mie nafurahi maaana magufuli ndio kamteka huyo si alitekwa kwa magufuli au kwa samia yy mama yenu kazi yake ku upiga mwingi
 
Back
Top Bottom