Mwandishi wa Habari Gordon Kalulunga adaiwa kusakwa na Jeshi la Polisi, aishi mafichoni

DED amechaguliwa na kiongozi wa CCM na CCM ndicho chama kinachounda serikali.

Hii tabia ya kutekana inajulikana wazi inafanywa kwa maslahi ya CCM, hivyo usipoteze muda wako kuitenga CCM, viongozi wake, na utekaji, utachekwa.
DED hutangaza matokeo akisimamiwa na Polisi.

DED anateuliwa na CCM.

Polisi anawajibika CCM.

Mwenezi was CCM alimwagiza IGP ashugulike na vijana wake.

Hiyo chain ya uongozi na mipaka ya majukumu ndio siri ya baadhi ya watumishi kuvujisha siri.Kila mtu ameota pembe.
 

Hii ni hoja inajadilika. Lakini siyo kosa kafanya Mtendaji wa Kata anatajwa Rais, CCM na Serikali kwa ujumla! Nchi kubwa hii. Yaani kiongozi wa juu ajue kila kinachoendelea ktk nchi yote? Why hata hatuanzii kwa MaDc na Ma RC, kama wanajua?

Halafu sasa bingwa Kalulunga kwanini kakimbia kisa kaona polisi...na silaha? Si labda wako doria zao za za usalama? Yaani polisi wanaweza muwinda raia mmoja tena mwandishi kwa silaha kweli? Itakuwa mchecheto tu...siamini.🤣🤣🤣
 
Duh! Kalulunga mwoga sana!
 
Unajua kwa nini kigezo cha upolisi ni ufaulu mbovu? Police wanaishi kwa laana kila uchao,
 
Kama ni kweli ni bora akaripot kituo chochote cha polis anachokiamin...hawa jamaa wakikudhamiria kweli hawakukosi
No aje Sumbawanga kwa babu yangu atampatia ndago kidogo tuu na yote yataisha.
 
Ni walewale, vilevile
 
Tumerudi kule kule
 
Soon mtasikia nyumba yake imefanyiwa upekuzi na wameondoka na laptop na baadhi ya makabrasha. Mambo ya kutekana yanaanza kurudi.
Yaliisha lini mkuu?
Sema walipumzika kupima upepo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…