Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,153 Reaction score 10,670 Nov 8, 2021 #61 Kipangaspecial said: Kama wewe unavyohusika Click to expand... Haya sasa
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Nov 8, 2021 #62 igogondwa said: Kwanza hujaelewa hata mada yenyewe, nimeamini kweli akili ni nywele na Kipara ni mzigo Click to expand... Sitaki kuelewa mada ila atoke tu huko kama anatafutwa na polisi nae si muhalifu atoke tu kabla msitu haujatiwa moto!
igogondwa said: Kwanza hujaelewa hata mada yenyewe, nimeamini kweli akili ni nywele na Kipara ni mzigo Click to expand... Sitaki kuelewa mada ila atoke tu huko kama anatafutwa na polisi nae si muhalifu atoke tu kabla msitu haujatiwa moto!
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Nov 8, 2021 #63 Pua ya zege said: Si kumemsaidia kujulisha jamii kinachoendelea Kati yake na polisi angekuwa polisi tungepata taarifa wapi? Mzee hicho kupara kipya cha uchawi? Click to expand... Aende tu polisi naamini yeye sio muhalifu!
Pua ya zege said: Si kumemsaidia kujulisha jamii kinachoendelea Kati yake na polisi angekuwa polisi tungepata taarifa wapi? Mzee hicho kupara kipya cha uchawi? Click to expand... Aende tu polisi naamini yeye sio muhalifu!
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Nov 8, 2021 #64 mjingamimi said: Akaripoti nini kituo cha polisi! Click to expand... Akajue anaitiwa nini!
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Nov 8, 2021 #65 Mmawia said: CCM wote hawana tofauti na ulishaambiwa kuwa yeye na mwendazake lao ni moja. Click to expand... Dadekii kuna mtu kalizwa!
Mmawia said: CCM wote hawana tofauti na ulishaambiwa kuwa yeye na mwendazake lao ni moja. Click to expand... Dadekii kuna mtu kalizwa!
Ridomil gold JF-Expert Member Joined Aug 22, 2020 Posts 2,790 Reaction score 2,232 Nov 8, 2021 #66 Hahah mie nafurahi maaana magufuli ndio kamteka huyo si alitekwa kwa magufuli au kwa samia yy mama yenu kazi yake ku upiga mwingi
Hahah mie nafurahi maaana magufuli ndio kamteka huyo si alitekwa kwa magufuli au kwa samia yy mama yenu kazi yake ku upiga mwingi
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Nov 8, 2021 #67 kipara kipya said: Dadekii kuna mtu kalizwa! Click to expand... Ni kawaida sana kwa mtu anaye ishi kwa shemeji yake kama wewe kutokuwa mawazo mbadala
kipara kipya said: Dadekii kuna mtu kalizwa! Click to expand... Ni kawaida sana kwa mtu anaye ishi kwa shemeji yake kama wewe kutokuwa mawazo mbadala
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Nov 8, 2021 #68 kipara kipya said: Akajue anaitiwa nini! Click to expand... lakini hawakumwambia aende kituo cha polisi. Tukajua haya mambo yalizikwa tarehe 26 mwezi 3 mwaka 2020 siku ya ijumaa
kipara kipya said: Akajue anaitiwa nini! Click to expand... lakini hawakumwambia aende kituo cha polisi. Tukajua haya mambo yalizikwa tarehe 26 mwezi 3 mwaka 2020 siku ya ijumaa