TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

Anaitwa Vedastus Msungu mmoja kati ya maripota bora wa ITV kwa miaka ile ya mwanzoni wa 2000 kando ya akina Adam Akyoo, George Maratooo, Afu ukute sasa habari inasomwa na akina Betty Mkwasa, Julius Nyaisanga au Asha Mtwangi. ITV ilikuwa moto sana

RIP Msungu
Georrggggggg Maratooooo
 
..Huyu huyu Vedasto Musungu ambaye mpaka juzi tu tulikuwa tukisoma habari zake na kuangalia picha zake Kyle Insta???
Dah! Kweli hali sio Njema. RIP Vedasto Musungu
emoji22.png
 
natural death.by the way umri ulikuwa umesonga.rip
Nakuhakikishia kuwa hatutatatua tatizo la Corona kwa kujidanganya kuwa halipo!Huwezi kusema kuwa amekufa kwa natural death sijui umri ulikuwa umeenda wakati kilichomuua ni Corona ambayo tungeweza kupambana nayo kama Taifa.Nakuhakikishia kuwa tutaendelea kupukutika kama Nzige waliopigwa sumu hadi pale tutakapokubali kuwa tuna tatizo.
2825585655.jpg
 
Pole sana kwa wafiwa. Tunamshukuru sana Seif kwa kujitangaza mapema kuwa ana COVID na tayari naye kaenda zake na huyu ndiye alisalimiana na Stone Tangawizi kwa mateke. Stone Tangawizi yeye bado amekomaa kwamba ugonjwa huo ni hofu tu. Siku ukipiga hodi chumbani kwake ndipo atapata fahamu
Kama ilivyokuwa kwa Pierre Nkurunzinza wa Burundi.
 
...Huyu huyu Vedasto Musungu ambaye mpaka juzi tu tulikuwa tukisoma habari zake na kuangalia picha zake Kyle Insta???
Dah! Kweli hali sio Njema. RIP Vedasto Musungu [emoji22][emoji22]
Mkuu
Tuendelee Kuchukua Tahadhali Zote
Hali Siyo Shwari, Hali Ni Tete Sana
Apumzike Kwa Amani
 
Back
Top Bottom