TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

Kuna vigogo wengi sana hali zao ni mbaya sana hapo Muhimbili wanawekewa mitungi miwilimiwili,nakuhakikishia kuwa bado kidogo sana tutakubali kuwa Corona ni tatizo!
Kabisa mkuu hapa lugalo ni shida kiongozi
 
Moja kati ya maripota wakongwe sana


Poleni ITV na wafiwa

We surely belong to Allah and to Him we shall return
 
Sawa watu wanakufa kila siku lakini this time duh...
This time ni kua watu wameamua kua wanatoa taarifa ya kila kifo, mwisho wa siku watu wanahusisha na ugonjwa uliopo... hata kabla ya corona vifo vilikua vingi tu at the very same rate!, ila watu hawakua wanachangamkia kueneza habari kama saivi!, Imagine ndugu yangu ww mwana jf ukifa saivi taarifa yako kila mtu anaishare, hata kama ulikufa a natural death!..
 
Mwandishi mkongwe wa habari za mazingira, Vedasto Msungu amefariki dunia kwa changamoto ya upumuaji huko Morogoro Hospitali ya Rufaa

Mwandishi Vedastus Sungu alikuwa akipatiwa tiba kwenye Hospitali ya SUA, hali yake ilipozidi kuwa tete sana akahamishiwa Hospitali ya Rufaa Morogoro ward number 4 mpaka umauti ulipomkuta.


Chanzo: Radio One.
Nikilipoti matukio Mimi ni vedasto MSUNGU itv morogoro
 
Anaitwa Vedasto Msungu mmoja kati ya maripota bora wa ITV kwa miaka ile ya mwanzoni wa 2000 kando ya akina Adam Akyoo, George Maratooo, Afu ukute sasa habari inasomwa na akina Betty Mkwasa, Julius Nyaisanga au Asha Mtwangi. ITV ilikuwa moto sana

RIP Msungu
Kuna mwamba COSMAS MAKONGOO
 
Nakuhakikishia kuwa hatutatatua tatizo la Corona kwa kujidanganya kuwa halipo!Huwezi kusema kuwa amekufa kwa natural death sijui umri ulikuwa umeenda wakati kilichomuua ni Corona ambayo tungeweza kupambana nayo kama Taifa.Nakuhakikishia kuwa tutaendelea kupukutika kama Nzige waliopigwa sumu hadi pale tutakapokubali kuwa tuna tatizo.View attachment 1704788
Samahani mkuu, naomba unitafutie kauli ya mh. raisi au washirika wake akisema Corona haipo Tanzania!.
 
Mwana habari wa ITV Vedatus Msungu amefariki leo hii jioni mjini Morogoro.

Alikuwa amelazwa ktk Hospitali ya mkoa na sasa hatunaye tena.
Screenshot_20210217-192513.jpg
 
Back
Top Bottom