TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

Pole sana kwa wafiwa. Tunamshukuru sana Seif kwa kujitangaza mapema kuwa ana COVID na tayari naye kaenda zake na huyu ndiye alisalimiana na Stone Tangawizi kwa mateke. Stone Tangawizi yeye bado amekomaa kwamba ugonjwa huo ni hofu tu. Siku ukipiga hodi chumbani kwake ndipo atapata fahamu
Toa ushauri kama wewe ndio ungekuwa stone ungefanya nini
 
Jamani eeh kwa sauti ya kikwete Akili za kuambiwa changanya na zako madaktari ni watu nao. Huduma ya kwanza mgonjwa wa kupumua ni dawa za asili mjifukize kuleni malimao kolona haitibiki hospitali jamani ohooooo nishalizwa mm .
 
Too bad aisee[emoji24][emoji24], Rest Easy bro, tutaonana baadae[emoji120]
 
This time ni kua watu wameamua kua wanatoa taarifa ya kila kifo, mwisho wa siku watu wanahusisha na ugonjwa uliopo... hata kabla ya corona vifo vilikua vingi tu at the very same rate!, ila watu hawakua wanachangamkia kueneza habari kama saivi!, Imagine ndugu yangu ww mwana jf ukifa saivi taarifa yako kila mtu anaishare, hata kama ulikufa a natural death!..
Hatakama kuna ongezeko la kushare habari za vifo, hali ya sasa mitaani tuu tunajionea ongezeko la vifo lisilo la kawaida, achilia mbali idadi ya wagonjwa ma hospitalini.
 
Mtu aliyeishi na watu vizuri utamjua tu. Comment fupi fupi za RIP.

Ingekua Ni mtu Kama wale walio iba Kura comment zingekua za kufurahi na kejeli nyingi.

Tuishi vizuri jama halafu tuache dhulma na ubabe.
 
Kama taifa tusipochukua hatua at least kama tulivyofanya mwaka jana! Hili gonjwa litaondoka na wengi sana. Kinachosikitisha badhi ya watu bado wanafanya dhiaka na mizaa mingi kwenye swala nyeti kama hili. Mwenyezi Mungu amuweke palipo pema marehemu.
Tuliobaki tuendele kuimba yale mapambio yetu na kunyima ubongo hakiyake ya msingi kufikiri kwa kisingizio siku yake ilifika.
 
Back
Top Bottom