Mgonga Like
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,255
- 1,659
Kama upo dar es salaam mkuu njoo hopsital ya lugalo ujione hali halisi ilivyounafanya kazi hospitalini?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama upo dar es salaam mkuu njoo hopsital ya lugalo ujione hali halisi ilivyounafanya kazi hospitalini?.
Acha uchuro bwashee!
Dunia ni mapito tu bwashee!Subir zamu yako bwashee
Hivi yule meya aliyewavua barakoa watu yupoDunia ni mapito tu bwashee!
Dunia ni mapito tu bwashee!
Kwanza heshima yako kiongozi wangu. Natambua dunia tunapita ila sio kwa sababu za zinazoweza kuepukika. Kwani ugumu uko wapi zikifatwa taratibu zilizotumika mwakajana huoni kama itapunguza na kutokomeza kabisa hii hali?Dunia ni mapito tu bwashee!
Mkuu pendekeza nini tufanye.Kama taifa tusipochukua hatua at least kama tulivyofanya mwaka jana! Hili gonjwa litaondoka na wengi sana. Kinachosikitisha badhi ya watu bado wanafanya dhiaka na mizaa mingi kwenye swala nyeti kama hili. Mwenyezi Mungu amuweke palipo pema marehemu...
Akikujibu nitag kiongoziSasa kama mnalijua hilo vp hiz siasa zenu uchwara mnazoziendesha utadhan mtaishi milele????
Mapendekezo tayari yapo kiongozi wangu, watalamu wa afya duniani kote wanaubiri ni sisi tu kujitia viburi. Kwani mwakajana tulichukua hatua gani mkuu!? Au na wewe unamini maombi ndio yaliondoa mdudu Tanzania hii!!?Mkuu pendekeza nini tufanye...
Usipayuke tu.
Basi tufanye hivyo.Mapendekezo tayari yapo kiongozi wangu, watalamu wa afya duniani kote wanaubiri ni sisi tu kujitia viburi. Kwani mwakajana tulichukua hatua gani mkuu!? Au na wewe unamini maombi ndio yaliondoa mdudu Tanzania hii!!?
Samahani mkuu, naomba unitafutie kauli ya mh. raisi au washirika wake akisema Corona haipo Tanzania!
Kabisa kiongozi wangu. Mkuu wanchi au wizara usika inapaswa kua mstari wa mbele kwenye hili jambo. Juhudu za mwakajana zilizaa matunda na ndio sababu mkuu iliyotufanya tutembe kifua mbele.. nasio mapambio ya maombiBasi tufanye hivyo.
Siasa uchwara ziko Ufipa!Sasa kama mnalijua hilo vp hiz siasa zenu uchwara mnazoziendesha utadhan mtaishi milele????
Corona babuNatural death.by the way umri ulikuwa umesonga.rip