Mwandishi wa Habari wa Millard Ayo TV adaiwa kutekwa na kunyaganywa vifaa na wasaidi wa Paul Makonda kisa maandamano

Uzushi umekuwa mwingi sana. Ni ngumu kuamini
Aliyeleta habari hakufuatilia vzr, ila ipo utube Kwa kina na sio katekwa ila alikuwa anazuiliwa kurusha habari ya wananchi walioandamana Arusha na kufunga Barbara sbb Kuna watt 2 wametekwa hawajulikani walipo
 
Asante madam, nimeisikia DW mchana wa leo.
Ila RC kama kafanya hayo kweli amekosea.
Alichopambana kuzuia ndicho kimepata coverage kubwa mpaka nje.
 
Boss wake millardayo ni chawa wa ccm
 
Asante madam, nimeisikia DW mchana wa leo.
Ila RC kama kafanya hayo kweli amekosea.
Alichopambana kuzuia ndicho kimepata coverage kubwa mpaka nje.
Amezingua sn niliamini kabadirika ss kanitia wasiwasi
Maana wale watu walikuwa wanataka kumnyang'anya camera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…