Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 806
- 2,049
RIP, poleni mno kwa wafiwa na staff mates wake wote, mkuu ni haki yako kuchangia ila mimi hii issue nimeiona kwa upande wa pili, tumeshuhudia watu walio fit kabisa,gym kila siku na wana drop dead ndani ya gym, pia hapa kuna tatizo kubwa mno,uokoaji wetu pale mlimani bado ni wa kijima, nchi ilipata aibu mno kipindi kile yule celebrate kutoka SA alipofia mlimani wakati uzuzu ule unafanyika wa kumkimbiza chini kwa kutumia mkokoteni, Ile ni aibu na kama nchi hatujifunzi, juzi kati tumeionyesha dunia jinsi ya kuokoa ndege kwa kamba na mitimbwi!Apumzike kwa aman..
Japo alikua yuko kazini Ila watu wasiwe wanaforce kupanda huo mlima bila kua na mazoezi ya kutosha, au unakuta mtu ana pressure na magonjwa yasiyoambukiza anataka nae akapande..
View attachment 2446256
Mwandishi wa habari wa TBC mkoani Manyara, Joachim Kapembe amefariki dunia Desemba 13, 2022 akishuka kutoka katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Kapembe aliungana na Waziri Nape Nnauye na viongozi wengine katika uzinduzi wa huduma ya intaneti kwenye kilele cha mlima huo.
Swahilitimes.
Binadamu tunasema mengi SanaKuna Siri gani Kati ya kishuka mlima Kilimanjaro na kifo?. Kuna rafiki yangu naye alifariki wakati wanashuka mlima Kilimanjaro.
Kupanda mlima sio kitu rahisi, inahitaji mwili uwe fit. Watakuwa ni wagonjjwa wameforce kupanda.Kuna Siri gani Kati ya kishuka mlima Kilimanjaro na kifo?. Kuna rafiki yangu naye alifariki wakati wanashuka mlima Kilimanjaro.
Binadamu tunasema mengi Sana
Ndio siku Yao ishafika that's it
Kupanda mlima sio kitu rahisi, inahitaji mwili uwe fit. Watakuwa ni wagonjjwa wameforce kupanda.