Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Hilo gazeti halina tofauti na uhuru,au gazeti la musiba.kutwa kusifia tu huwezi kuona linaandika jambo la maana
Leo utaona limeweka picha za meko yuko juu ya mawe kama k...nge.
Hao ni waandishi waliojua kulamba miguu ya vilaza wa lumumba


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee yaani mtu anafukuzwa kazi kwa sababu hiyo ?Yaani Trump na Macron wanavyotukanwa na wapiga kura wao, Magufuli ndio angekuwa wao angekufa kwa pressure.
Lumumba huwa wanataka kusifiwa tu,jamaa kamuambia ukweli.meko stress zimemzidi mpka analala kwenye mawe kma mjusi[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isee ww NI kiatu Kati ya watu huelew kitu [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakijua alichosema? Yeye anasema akiijumuisha JF wote wakati na yeye ni mwanachama humu ndio namshangaa.
 
Mwandishi husika amefanya kazi kubwa kuhabarisha na kuelimisha umma kupitia taaluma yake. Alikuwa ni mmoja ya waandishi mahiri MCL.
Hata hivyo, inaonekana alishindwa kutambua mipaka yake katika maandishi yake katika mitandao ya kijamii.

Tukichukulia tweets zake za hivi karibuni kuwa nyuma ya matatizo aliyopata, ni dhahiri, kama mwandishi wa kampuni kubwa kama MCL, alishindwa kuchagua maneno katika kufikisha ujumbe.

Kwetu sote tunaotoa maoni yetu mitandaoni:tukosoe na tupinge bila kudhalilisha wala kudunisha utu wa mtu.
 
Uko sahihi. He got carried away na lugha aliyokuwa anatumia si ya staha
 
namjua huyo jamaa nilishawahi kukutana naye manzese

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Mjifunze kuzingatia masharti ya mikataba ya ajira.
Watanzania mmezidisha siasa hadi mnasahau nyinyi ni waajiriwa.

Kila mwandishi anajifanya mwanaharakati.

Wakenya "the CITIZEN" wako kikazi zaidi.
Na hapo wanazingatia hilo.terms & conditions.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya mbinu za Magufuli kupambana na corona kuonyesha mafanikio ni wakati mwafaka sasa huyu mwandishi aombe samahani kwa kuwa imeonyesha dhahiri nani kati yao alikuwa sahihi katika kupambana na hili janga
 
Baada ya mbinu za Magufuli kupambana na corona kuonyesha mafanikio ni wakati mwafaka sasa huyu mwandishi aombe samahani kwa kuwa imeonyesha dhahiri nani kati yao alikuwa sahihi katika kupambana na hili janga
Ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko Khalifa kuomba samahani.

Kuhusu Magufuki na hayo unayoyaita mafanikio.

Katika tafiti za sayansi kuna msemo kwamba, correlation does not equal causation.

Unaweza kuumwa kichwa, ukanywa mkojo, ukapona kichwa.

Hilo halimaanishi mkojo ni dawa ya kichwa.

Kusema kitu kimeponya inabidi uoneshe causation, si correlation tu.
 
Nchi ilipita msoto yani kusema 1+1=2 kama dikteta akisema ni 3 basi weww uibebe hata kama kakosea.

In the name of the president indeed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…