Msarendo
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 10,533
- 6,562
Acha uogaMe naomba nipotee humu kabla sijapotezwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uogaMe naomba nipotee humu kabla sijapotezwa.
Babu usikimbieHuko tunakoelekea, bora nihamie Zimbabwe...
UnachekechwaMwananchi wenyewe hawajatoa taarifa ya hiyo habari nyeti kufuatiliwa!!
By the way kama alikuwa ni ripota wa magaidi basi watakuwa wamepotea naye.
Kejaa ZimbabweHuko tunakoelekea, bora nihamie Zimbabwe...
Jamani kwanini wanifanyia hivyo??? Unataka nikufe?Sitaki!Itabidi ukodi Lori maana una wake wengi mimi nitakaa wapi sasa?
Ficha ujinga wako! Ni kawaida kwa chombo cha habari kua na reporter popote duniani.Huyo mwandishi wa habari ana kazi gani Kibiti? Kwa maelezo ya mkewe amekuwa anachukuliwa na 'watu' huko Kibiti, sasa swali alikuwa anachukuliwa na nani na alikuwa anapelekwa wapi na kwa kazi gani? KIBITI?
Gazeti la Mwananchi nalo lilikuwa na kazi gani KIBITI?
Kwani Kibiti kunapatikana kazi gani?Huyo mwandishi wa habari ana kazi gani Kibiti? Kwa maelezo ya mkewe amekuwa anachukuliwa na 'watu' huko Kibiti, sasa swali alikuwa anachukuliwa na nani na alikuwa anapelekwa wapi na kwa kazi gani? KIBITI?
Gazeti la Mwananchi nalo lilikuwa na kazi gani KIBITI?
Ujue shurti ujiondoe ufahamu awamu hii ili uonekane patriotFicha ujinga wako! Ni kawaida kwa chombo cha habari kua na reporter popote duniani.
Nawaza mpaka 2020 tutakua tumejionea mangapi.Ujue shurti ujiondoe ufahamu awamu hii ili uonekane patriot