Mwandishi wa kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Azory Gwanda apotea. Ni siku 10 na hajulikani alipo

image.jpeg
 
Inawezekana ali ripoti kuhusu nyufa za hosteli kwenye mtandao wa fesibuku...[emoji47] [emoji47]
 
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga, inaweza isiwe leo wala kesho, ila kuna siku ukiwa nafuraha tere na amani na maisha bora wewe na familia yako, tena ukiwa umesahau kabisa madhambi yako. Hiyo siku ikifika utalipa deni lako lote kwa ukamilifu. Tena wewe na familia yako! Angalia sana nyendo zako sizonje, or you and your children will pay the price one day.
 
Halina muda mrefu
Kuna mswada unatakiwa kwenda bungeni kwamba wamiliki wa mitandao ya kijamii wanatakiwa wawatambue wateja wao.....,

Kwa haraka haraka hapo ni JF inatafutwa...!!!

Kwahyo bwana babati lzm Mexence Mello akutambue akishindwa hili jamvi lzm lifungiwe..
 
Anafikiri atatawala milele..
Ana mwisho mbaya sana hapa duniani.
 
Kuna mswada unatakiwa kwenda bungeni kwamba wamiliki wa mitandao ya kijamii wanatakiwa wawatambue wateja wao.....,

Kwa haraka haraka hapo ni JF inatafutwa...!!!

Kwahyo bwana babati lzm Mexence Mello akutambue akishindwa hili jamvi lzm lifungiwe..
Hakuna namna 2020 tuna delete CCM
 
Back
Top Bottom