Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole pole....wasiojulikana wamo hata humu!Sasa nimeanza kuelewa zile maiti zinazookotwa kwenye viroba kule ufukweni hua zinatoka wapi.
Yule si ni mwandishi wa kujitegemea au sijasoma vizuri?Huyo mwandishi wa habari ana kazi gani Kibiti? Kwa maelezo ya mkewe amekuwa anachukuliwa na 'watu' huko Kibiti, sasa swali alikuwa anachukuliwa na nani na alikuwa anapelekwa wapi na kwa kazi gani? KIBITI?
Gazeti la Mwananchi nalo lilikuwa na kazi gani KIBITI?
Hata wewe hujulikani mkuuPole pole....wasiojulikana wamo hata humu!
Hao hao vyombo vya dola ndio watuhumiwa watafanyaje kazi ya kujichunguza wenyeweBasi vyombo vya dola vifanyie kazi
[emoji144]Tz survivors episode 0000013356 ,hatujui kesho in zamu ya nani ,so sad .
Tz survivors episode 0000013356 ,hatujui kesho in zamu ya nani ,so sad .
Species at Risk: Politicians, Journalists and bloggers! But am neither!