Tajiri Mtoto
JF-Expert Member
- Feb 12, 2009
- 223
- 590
Kuna story alikuwa anaifanyi kazi hivi karibuni...sensitive. Tuanzie hapo 😡😡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Species at Risk: Politicians, Journalists and bloggers! But am neither!
Species at Risk: Politicians, Journalists and bloggers! But am neither!
Kuna story alikuwa anaifanyi kazi hivi karibuni...sensitive. Tuanzie hapo 😡😡
HAWA NDO WALE WANAKUTWA KWENYE SANDARUSI HUKO BAHARINI
WATAJUA WENYEWE WENYE KUWABEBA SITAKIKUITWA MCHOCHEZIKwanini
Mungu anamuona nani?Tanzania nchi yangu..
Anyway, labda aliugua kichaa ghafla na kutoroka nyumbani.. Ndugu wajaribu kumtafuta kwenye stand za mabasi na majalalani..
Wee mkuu Mungu anakuona..
WATAJUA WENYEWE WENYE KUWABEBA SITAKIKUITWA MCHOCHEZI
dah niache kuzaka ugali wa mwanangu nianze kuhangaishwa na hawa wasiofahamikaSawa mkuu sije tukatiwa pingu.
Shirikisha ubongo wako vizuri, kisha utapata jibu.Mungu afanye wepesi ajulikane aliko
Unknown people strike again!!
Mku sijakuelewa una maanisha nini ebu nielewishe kwani mm binadamuShirikisha ubongo wako vizuri, kisha utapata jibu.
dah niache kuzaka ugali wa mwanangu nianze kuhangaishwa na hawa wasiofahamika
Tukubali kuwa wananchi wa kawaida, blogers, wanasiasa, na wakosoaji wengine hawapo salama ktk Tz hii ya awamu ya tano. Lkn kwa nini iwe hivyo? mtu apotezwe bure bure tu na watu wasojuilikana? watawala wakumbuke kuwa histora hujirudia. Amerika ya kusini ilipitia enzi mbaya sana ya raia na wakosoaji wa tawala dhalimu na madikteta wote wa amerika ya kusini waliishia vibaya ama walipunduliwa ama waliishia ktk mahakama ya uhalifiu wa kivita. Historia na wakati ni mwalimu mzuri. Ktk leadhership kuna kuiga best practice ya aina ya viongozi wanaofanya vyema ktk kuongoza nchi zao. Lakn sisi Tz kwa bahati mbaya viongozi wetu wanaiga leadership approaches za Rwanda na Uganda na kusahau kuwa nchi hizi tatu zimepitia uzoefu tofauti wa kisiasa.
Inasikitisha sana kusoma kila siku ktk media kuwa eti huyu kapotea, huyu kapigwa risasa 32, huyo kafichwa na huyu kabinywa mapumbu na kutolea meno kwa pakari alimradi ni shida. Viongozi na watawala wakumbuke kuwa mazingira salama na kulinda haki za kila kundi ndyo njia pekee tutakayojenga Tanzania salama. Vitisho, mauaji na kupotea kwa wananchi wasio na hatia vinabomoa nchi. Abadan havijengi. Bila ya kuheshimu haki hakuna Amani( Rejea statements za Mr George Owel). wala tusijidanganye. Binadamu ni kama mpira. Kiwango cha uvumilivu kina mwisho pale maximum point of elasticity inapofikia ndo inakuwa mbaya zaidi kwa sababu anayeoonewa akivaa koti la mnyama anakuwa hatari na mbaya zaidi.
Wanaofanya vitendo hivi wasijisahau. Tz hakutakuwa na truth and reconciliation committee wakati mambo yatakapogeuka. Ubaya hulipwa kwa ubaya. Hatujazoea vitisho hivi ndo tunaviona ktk awamu hii. Naomba viongozi wa dini wasijifiche kama mbuni watoke mafichoni na wakemee uoza huu na sio kukaa kimya kama kwamba hakuna baya lolote. Akina Shiekh Mussa wa dsm, Kadinali Pengo na viongozi wengine wote. Nawapendeni na ninakuheshimuni sana lkn ifike wakati mpapai tuite mpapai na sio mgomba. Tumieni influence mliyonayo kuiwka tanzania sehemu salama.