Mwandosya tuliambiwa asiye na Wizara maalum, Mkuchika kazi maalum. Kazi zipi hizo?

Mshauri maalum kwaniaba ya:
Jiulize kazi za wazee wa baraza
 
Ni kupoteza muda tu hivi huyu Mzee na mvi zote hizo anamaajabu gani?Miaka 78,79,80 hivi kuna Ubunifu tena hapo?
 
Hivi nae anayo budget inayosomwa bungeni ama anategemea budget ya ikulu
 
"Rais hakosei"

Kwi kwi kwi ....inji hii jamani!
 
Ni kupoteza muda tu hivi huyu Mzee na mvi zote hizo anamaajabu gani?Miaka 78,79,80 hivi kuna Ubunifuu tena hapo?
Lakini si tumeona kwamba vijana wengi wametuangusha sana awamu ya 5. Ambao mpaka sasa mwingine yupo kwa Hamdun.
 
WATU wanatafuna nchi aisee , aliekaribu na mzee mkuchika mwambie anikopeshe ml 200 bila riba nitekeleze mradi WANGU bwana unaitaji ml 450, angalau niguse pesa zenye arufu ya Ikulu
 
Haaaaa UZEE DAWA,Mnataka PETROL wakati viberiti vipo.

PETROL TUMEWASHITUKIA MMECHOMA HAI,IRINGA,MBY,MTWARA,BASITE NK
 
Jamaa umeulisha ubongo wangu Mambo ambayo sikuwahi kuyawazia hata siku moja,kongore Sana mkuu [emoji120]
 
Soma Katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…