Mwandosya tuliambiwa asiye na Wizara maalum, Mkuchika kazi maalum. Kazi zipi hizo?

Kitu unapaswa kuelewa ni kwamba sio kila kitu katka serikali kinaeza wekwa bayana kwa umma ,serikali aipo hivyo ,kuna watu ni ghost workers wanafanya kazi kubwa sana kwa ajil ya taifa ila uwezi waona kkabsa mbele ya camera ,
Ila wayafanyayo ni makubwa mno , kwaiyo sio kila kitu ni lazima ukijue au kiwekwe bayana,.
Allah akikujalia kuja kuwa kiongozi mkubwa katka taasisi au hata miradi yako utakuja litambua hili

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…