Mwanetu Hamisa hana Baraka za Wazazi wa Aziz Ki

Mama anasema anashangaa binti kukubali kuolewa bila kupelekwa ukweni kutambulika....

Inaonesha hii ndoa mama wa Aziz K alikuwa anakacha then Aziz K kaforce

Kwa yaliyonikuta Mimi,niseme ukweli ndoa na mwitikio wa ndugu ndiyo ndoa idumuyo
 
Mahari million 30 na single maza wa wababa wawili…. Zaidi maex, hit & run anajaza SGR 😹😹

Masijala naweka kumbukumbu sawa 🤣
Jambo jema, maamuzi yao yanapaswa kuheshimiwa .
 
Wazazi na ndugu wa Aziz Kiii hawakuhusika kwa lolote kuanzia 1. Posa , 2. Mahari, 3. Engagement hadi Ndoa. Yaani Wazazi na ndugu wa Aziz ni timu ya Yanga.
Kwa familia inayojitambua isingeruhusu hili jambo lifanyike bila uwepo au uhusika wa wazazi na ndugu wa bwana harusi. Wazazi wa Hamisa wasingemuendekeza binti yao( anyway wazazi wa kishua hawa).

Jux juzi tu kafunga ndoa yenye heshima na Baraka zote za wazazi wa pande zote mbili.

Mwanetu Hamisa inawezekana lengo lako wewe na Mama yako ni kutimiza heshima ya ndoa, LAKINI BARAKA ZA WAZAZI WA KII NI MUHIMU SANA.

Hivi kweli mzazi anashuhudia matukio ya sherehe za ndoa ya mwanaye kupitia mitandaoni!!!!!
kwani wazazi ndo wanaooa? hadi wawepo kwenye ndoa.
 
Muhimu ndoa imepita, single maza kaolewa kwa kishindo..!!

Hizi blah blah zenu hazitawapa uponyaji kataa ndoa….!! Aiiiihyyy nyie huku Hamisa kaweza 😹😹
Hizo kelele za mama mlezi na wengine ni kwa sababu Afrika ukishakuwa na mafanikio kidogo tu ukoo mzima mambo yako yanaanz akuwa everybody's business hata kama walikuwa hawakujali.
Huenda ana ndugu zake wengine huwa hawawafuatilii hata wakisikia wameoa mbwa kisa hawana fedha.
 
Mama anasema anashangaa binti kukubali kuolewa bila kupelekwa ukweni kutambulika....

Inaonesha hii ndoa mama wa Aziz K alikuwa anakacha then Aziz K kaforce

Kwa yaliyonikuta Mimi,niseme ukweli ndoa na mwitikio wa ndugu ndiyo ndoa idumuyo
Wafurahi wakati wa sasa mambo ya kudumu hata binadamu pia hadumu humu duniani.
 
Msihangaishwe na ndoa ambayo kuna mtu kamuolea mtu...
 
Wazazi na ndugu wa Aziz Kiii hawakuhusika kwa lolote kuanzia 1. Posa , 2. Mahari, 3. Engagement hadi Ndoa. Yaani Wazazi na ndugu wa Aziz ni timu ya Yanga.
Kwa familia inayojitambua isingeruhusu hili jambo lifanyike bila uwepo au uhusika wa wazazi na ndugu wa bwana harusi. Wazazi wa Hamisa wasingemuendekeza binti yao( anyway wazazi wa kishua hawa).

Jux juzi tu kafunga ndoa yenye heshima na Baraka zote za wazazi wa pande zote mbili.

Mwanetu Hamisa inawezekana lengo lako wewe na Mama yako ni kutimiza heshima ya ndoa, LAKINI BARAKA ZA WAZAZI WA KII NI MUHIMU SANA.

Hivi kweli mzazi anashuhudia matukio ya sherehe za ndoa ya mwanaye kupitia mitandaoni!!!!!
Aziz Ki angewashirikisha ndugu zake kikamilifu, hapangefanyika ndoa, kwasabb wangemshauri aepuke kikombe hiki na wasingekubali kijana wao kubeba mzigo wa watoto wa baba wawili tofauti dhidi ya anaekusudia kumuoa unless angekua nae ameshamfyatua hata watoto wawili pia 🐒
 
Mama anasema anashangaa binti kukubali kuolewa bila kupelekwa ukweni kutambulika....

Inaonesha hii ndoa mama wa Aziz K alikuwa anakacha then Aziz K kaforce

Kwa yaliyonikuta Mimi,niseme ukweli ndoa na mwitikio wa ndugu ndiyo ndoa idumuyo
Labda mwamba kapewa tope. Kadata
 
Aziz Ki angewashirikisha ndugu zake kikamilifu, hapangefanyika ndoa, kwasabb wangemshauri aepuke kikombe hiki na wasingekubali kijana wao kubeba mzigo wa watoto wa baba wawili tofauti dhidi ya anaekusudia kumuoa unless angekua nae ameshamfyatua hata watoto wawili pia 🐒
Mbona aziz ki anao wawili pia
 
Hapo hamna Ndoa ndg zangu watanzania, hapo kuna sinema ya kihindi imeundwa kuokoa Ndoa ya mtu ambayo ilikuwa inawaka moto huko ndani.

Aziz katumika tu hapo na ndiyo maana hakuna ndg yeyote aliyefuka hapo harusini.

Nilisema kwenye mada kama hii hapo nyuma na leo narudia, hamna Ndoa hapo, vinginevyo tuvute subra hapa hapa JF tutaanziaha mada za kutosha na kusahau hii.

Mkwe ndiyo huyo huyo muoaji na muoaji ndiye huyo huyo mkwe hahahahaha..!. - So funny!.
 
Back
Top Bottom