Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kila moja na mamake right?🐒Mbona aziz ki anao wawili pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila moja na mamake right?🐒Mbona aziz ki anao wawili pia
Eeh .mmoja kazaa huko kwao mwingine kazaa juz juz hapa bongo na muigizaji veekashera ni wa kiumekila moja na mamake right?🐒
Hahahaha, hii Ndoa nilipoona Zama Yuko front nikajua hapa Aziz K kwisha habari yake...Mahari million 30 na single maza wa wababa wawili…. Zaidi maex, hit & run anajaza SGR 😹😹
Masijala naweka kumbukumbu sawa 🤣
Duh,huyo mdada atakua anajisikiaje huko aliko saaa Hz ?Eeh .mmoja kazaa huko kwao mwingine kazaa juz juz hapa bongo na muigizaji veekashera ni wa kiume
HahahaDjango Doer njoo tambaze dislikes huku
HeheheHahaha
alaaa, alaaa alaaaa 🐒Eeh .mmoja kazaa huko kwao mwingine kazaa juz juz hapa bongo na muigizaji veekashera ni wa kiume
Kijana upo?Hahaha
SijakuulizaKijana upo?
Njoo pm sasa tuongeeSijakuuliza
Nadhani hivyo... Huyo dogo wawezi beba jimama lile aweke ndani nakataa. Mwanamke Ambae amezalishwa na wanaume wawili wenye wenye pesa zao na wote wakamkataa ww unaenda kuzoa unaweka ndani! Hapana nakataa Kuna game imechezwa hapo na kama ni kweli bas kijana atakuwa ametumia akili za chini na si akili za kichwani na itamghalimKwa habari nayo ijua ni kuwa ndoa iyo ina maigizo azizi ki ni kivuli tu
Nadhani hivyo... Huyo dogo wawezi beba jimama lile aweke ndani nakataa. Mwanamke Ambae amezalishwa na wanaume wawili wenye wenye pesa zao na wote wakamkataa ww unaenda kuzoa unaweka ndani! Hapana nakataa Kuna game imechezwa hapo na kama ni kweli bas kijana atakuwa ametumia akili za chini na si akili za kichwani na itamghalim
Ww jidanganye tuBut ndoa ni jambo la kheri na anaolewa yoyote Kwa Jin's Mungu alivomkadiria hata awe na watoto Saba nae anao wawili kwahiyo ni 2-2 mkuu
Inakuuma ukiwa wapi?Mimi inaniuma sana kwanini Mwanangu Aziz anakuwa kama mwehu kuoa mwanamke amezaa na mijamaa ambayo imemtosa au yeye ndo shida, na hayo yana pesa hayakumuoa, na usikute yanaona mtandaoni yanakenua tu pumbavuu kabisa 🤬😡
Kwelikuna dosari dosari dosari ktk ndoa hiiWazazi na ndugu wa Aziz Kiii hawakuhusika kwa lolote kuanzia 1. Posa , 2. Mahari, 3. Engagement hadi Ndoa. Yaani Wazazi na ndugu wa Aziz ni timu ya Yanga.
Kwa familia inayojitambua isingeruhusu hili jambo lifanyike bila uwepo au uhusika wa wazazi na ndugu wa bwana harusi. Wazazi wa Hamisa wasingemuendekeza binti yao( anyway wazazi wa kishua hawa).
Jux juzi tu kafunga ndoa yenye heshima na Baraka zote za wazazi wa pande zote mbili.
Mwanetu Hamisa inawezekana lengo lako wewe na Mama yako ni kutimiza heshima ya ndoa, LAKINI BARAKA ZA WAZAZI WA KII NI MUHIMU SANA.
Hivi kweli mzazi anashuhudia matukio ya sherehe za ndoa ya mwanaye kupitia mitandaoni!!!!!
... Nami niliumwa sikio Eng anatafuna huu Mzigo, ndiyo ikapigwa hii sinema kuzima moto huko ndani kwa Eng ambako moto unafukuta.Hapo hamna Ndoa ndg zangu watanzania, hapo kuna sinema ya kihindi imeundwa kuokoa Ndoa ya mtu ambayo ilikuwa inawaka moto huko ndani.
Aziz katumika tu hapo na ndiyo maana hakuna ndg yeyote aliyefuka hapo harusini.
Nilisema kwenye mada kama hii hapo nyuma na leo narudia, hamna Ndoa hapo, vinginevyo tuvute subra hapa hapa JF tutaanziaha mada za kutosha na kusahau hii.
Mkwe ndiyo huyo huyo muoaji na muoaji ndiye huyo huyo mkwe hahahahaha..!. - So funny!.
Unawadahanu wazazi wa Aziz Ki?Wazazi na ndugu wa Aziz Kiii hawakuhusika kwa lolote kuanzia 1. Posa , 2. Mahari, 3. Engagement hadi Ndoa. Yaani Wazazi na ndugu wa Aziz ni timu ya Yanga.
Kwa familia inayojitambua isingeruhusu hili jambo lifanyike bila uwepo au uhusika wa wazazi na ndugu wa bwana harusi. Wazazi wa Hamisa wasingemuendekeza binti yao( anyway wazazi wa kishua hawa).
Jux juzi tu kafunga ndoa yenye heshima na Baraka zote za wazazi wa pande zote mbili.
Mwanetu Hamisa inawezekana lengo lako wewe na Mama yako ni kutimiza heshima ya ndoa, LAKINI BARAKA ZA WAZAZI WA KII NI MUHIMU SANA.
Hivi kweli mzazi anashuhudia matukio ya sherehe za ndoa ya mwanaye kupitia mitandaoni!!!!!
😹😹😹 Zama ni kirusi, yupo kimkakati..!!Hahahaha, hii Ndoa nilipoona Zama Yuko front nikajua hapa Aziz K kwisha habari yake...